Hello Bwana Michuzi,
Nimeona nikucontact.
Natafuta nyumba (3 rooms, master lazima na parking ya gari) ya kupanga maeneo ya mwenge, kijitonyama, makumbusho au mikocheni kwa gharama ya laki 2 mpaka 3.
Nimeshazunguka na madalali mpaka mwisho.
Sijui unaweza kunitangazia kwenye blog yetu ya jamii na ukawapa contacts zangu?
Please help.
Natumai kuiskia toka kwako soon.
Wako,
Neema Ray

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 33 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2008

    hebu acha ujinga wa kishamba...hebu rudi kwenu ulikotokea!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 10, 2008

    AKILI ZA WATU WENGINE SIJUI LINI ILI JANGA LITAKOMBOKA MTU KAULIZA SWALI VIZURI KABISA KUJIBU PIA UWEZI BASI NYAMAZA PLS WENYE AKILI TIMAMU MJIBUNI PLS

    JANETH

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 10, 2008

    He makubwa! Mtu kutafuta nyumba imekuwa ushamba? Pengine humu kwenye blogu kunaweza kuwa mtu ana nyumba yake na anatafuta mpangaji, ndio maana ya networking hii kwa sababu anapata nafasi ya kuweka hitaji lake kwa kundi kubwa la watu. Mie sina nyumba maeneo hayo ningekuwa nayo na haina mpangaji ningemkodisha. Shida nini sasa kumchamba dada wa watu.

    Kama mtu hukuamka vizuri ni bora kunyamaza kuliko kusema maneno yasiyo maana.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 10, 2008

    Pole Neema,
    Lazima uzunguke sana kwa bei hiyo.Kwa nyumba hiyo unayoitaka utalipa si chini ya laki 6. Kwa bei hiyo ya laki 3 unaweza kupata Mbezi, Mwananyamala,Changombe au Buguruni.
    Lakini ukiangalia adha ya wizi, umeme, barabara, ukaribu na mjini kama unazo ni bora ulipe.Karibu Kijitonyama.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 10, 2008

    nina nyumba kwa laki 300,000 ila mimi ni dalali pesa ya dalali ni 300,000 kama uko tayari tuwasiliane ramabady@gmail.com sio nyumba tuu kama una taka gari ,nyumba ya kununua ,au unauza gari au nyumba tuwasiliane kwa mail hiyo hapo juu

    dalali

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 10, 2008

    nilikosea mail samahani kwa usumbufu ultokea mail ramabadi@gmail.com

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 10, 2008

    Hivyo vijisenti vyako utapata nyumba hayo maeneo uliyotaja. Kwa hela hyo nenda Manzese kwa mfuga mbwa utapata na tena chini ya hapo.Au unaweza kupata Vingunguti kwa mnyamani. Hilo hela ni kwa ni kodi ya nyumba za aina ya mbavu za mbwa za huko chanika.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 10, 2008

    Kama michuzi siku hizi umekuwa dalali wa vyumba nini? haya bwana kazi ni kazi ilmradi mkono uende kinywani.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 10, 2008

    sina nia ya kundhalilisha mtu lakini tuseme ukweli,hapa Dar mihela ya EPA imeleta balaa kwenye property market maana nasikia majamaa baada ya kujaa vijisenti yalikuwa hayaulizi bei.dada yangu laki 2 nyumba mwenge,kijitonyama three bed room sahau,labda upate upande.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 10, 2008

    jamani hakuna sababu ya kutukana eti kisa mtu kauliza mwenye kuweza kum access ktk huduma anayo ihitaji. hii ndiyo faida ya technolojia sasa tukiishia kuwa na tabia za kutopenda mafanikio ya wengine si ndiyo kujididimiza kabisa?
    MIMI PIA ninapenda kufahamishwa maana siko tanzania kwamuda murefu, JE KWASASA NI MAENEO GANI YALIYOPO YALIYOPIMWA KWA VIWANJA VYA LOW DENSITY NA MAKADIRIO YA BEI NI KIASIGANI KWA KIWANJA KIMOJA?naulizia kwa dar es salaam.
    pia napenda mwenye kuweza kunijulisha kupitia blog hii kwa sasa kodi ya nyumba kama aliyo ielezea huyo dada hapo juu kwa mwezi ktk maeneo hayo ni kiasi gani?
    pia napenda kufahamu gharama kamili ambayo mtu anaweza kunulia gari ndogo 4WD kama escudo 5doors, vitara, kwa hapo dar toka ktk makampuni yanayouza magari na aka drive nyumbani inaweza kuwa kiasi gani roughly?

    mdau-ughaibuni.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 10, 2008

    Wewe ANNON namba moja ebuu acha ujinga wa kishamba umeamka na domo lako hujapiga mswaki mwezi mzima alafu unakuja kulopoka hapa wewe unamwambia mwenzako arudi alipotokea wewe umetokea wapi kwanza unaona umeshafanikiwa maisha au sio?hatuendi hivyo watanzania tubadilishe tabia jamani.maisha sipo hapo tumsikilize proffesar jay wimbo wake wa ndivyo sivyo alafu ndio mjue acha ushamba wewe kama huna la kuongea funga domo lako kubwa hilo.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 10, 2008

    Wabongo acheni mambo ya kishamba nyinyi mbona mnakuwa hivyo mtu kuuliza swali imekuwa makosa jamani ebuu angalieni kwanza nini mnaongea au mmekunywa maji ya chooni mtu anaomba msaada mnaanza kumponda na vijisent vyake kwanza mkisema hela kuna ubaya gani mpaka mseme vijisent acheni mambo yenu maisha ni kuangaika hapo mlipo sio ndio mmefika na hatuendi kiivyo jaribuni kubadilisha tabia sio vizuri kabisa mtu hajaongea vibaya bali kaomba msaada mnaanzaa kuponda tabia sio nzuri hiyo.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 10, 2008

    Hili pia ni tatizo la watanzania..! Ni wachache sana wana mawazo 'chanya'. Wengi wamejaa mwazo 'hasi'.
    Watu wengi wamezoea kutukana tu, hawawezi kuwa msaada wa aina yoyote kwa jamii. Na Michuzi anafanya makusudi kuanika mawazo yao ili tuweze kujuwa jinsi yamii ilivyo na 'mapooza' mengi.

    Mtu anashida, katumia heshima zote kumuomba mwenye blog ili amsaidie kufikisha ujumbe kwa wadau wengi halafu mtu mwingine anaona kama ni mchezo.

    Globu hii ni zana muhimu sana kama tutaitumia vizuri. Sijuwi hata kama mzee Michuzi anatoza pesa kwa matangazo kama hayo. Hii ni huduma nzuri sana. Ni wakati wa watu wasio na hoja kukaa kimya. Kama huna jambo la maana zaidi ya matusi yaliyoko kichwani mwako kaa kimya!

    ....Kwako dada Neema: Ni kama wadau kadhaa walivyosema, pesa yako hailingani na bei za maeneo unayoyataka. Ongeza pesa!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 10, 2008

    Dada Neema mimi ninakajumba kangu huko mikocheni na niko single. Kama na wewe uko single karibu tuwe pamoja hapa mikocheni unakokupenda tuponde raha, kwani hiyo hela uliyo nayo kidogo sana. Labda maeneo ya Buza au Tandika ndiyo kuna nyumba za hela yako. Na vijisenti ninavyo.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 11, 2008

    jamani eleweni kitu cha kwanza TZ hatuna system kweli au si kweli chances za Neema kupata maeneo ya huko inawezana ila sio ki rahisi.sorry it seems like most of us cant help u ngoja nikupe website na number za simu niliona za estate agencies
    nimeona mikocheni hii ni 3 bedroom house TSH'S 350,000- +255-773-223224
    Tegeta- 200,000


    HII NI AGENCY NYINGINE JARIBU PIA-
    +255-755-788806 or 0784-252741
    jaribu kuwapigia labda wanaweza kuwa na nyumba maeneo unayotaka kwa kwa bei hizo.
    contact hizo mimi nimezipata kwenye website tu kwasababu na mimi nakaribia kurudi TZ kwahiyo uwanaangalia nyumba online hope this will help.



    JANETH

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 11, 2008

    Kidumu 'michuzi village' ... Hakika, wote waliochangia, wamenishangaza! Hata yule annon wa kwanza, amenishangaza. Tuendelee hivihivi.

    Ciao,

    Seve

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 11, 2008

    JAMANI HIVYO VIJISENTI VYENU VYA MABOKISI HAVITOSHI KUKAA HAYO MAENEO MNAYOYATAKA. HUKO WANAKAA MAFISADI PAMOJA NA MAJAMBAZI TU, HIVYO VIHELA VYENU VYA MABOKISI SI LOLOTE NA SI CHOCHOTE HIZO NI HELA ZA MBOGA. MSIKURUPUKE ETI KWA SABABU TU UKO ULAYA. ACHENI ULIMBUKENI WA MAWAZO.NENDENI HUKO KWENU MLIKOTOKA NA ACHENI UJINGA.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 11, 2008

    kwa unae taka gari escudo bei ni 10m up 11m ila mimi nina rav4 manu gear nauza 13m haijatumika bongo ni used from uk rangi ni grean kama unataka mawasiliano zaidi niandikie ramabadi@gmail.com
    narudia tena mimi ni dalali kama unagari au nyumba unauza au unatafuta ya kununu au kupanga tuwasiliane kwa mail hiyo hapo juu .KUHUSU DADA NEEMA NAONA HAITAJI NYUMBA MAANA NIMEMUANDIKA TOKA JANA LAKINI HAJAJIBU.USHAURI kama mtu hujajianda ni bora ukatulia kwa maan unapotangaza unatafuta kitu alafu mtu anakuandikia alafu hujibu inaonyesha ni jisi gani wabongo tusivyo kuwa makini

    dalali

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 11, 2008

    Mhhhh watu kweli wanatabu sana kusoma kweli ni raha sana na usiposoma utajijua tu na pia wasio soma utawajua tuu wanajulikana tuu walivyo.Sasa wewe hapo juu unajiita KAMBAULAYA kwanza jina baya kama daya za kienyeji wewe mbona unakosa kujiheshimu mtu na akili zake ataweza kuja kukaa na kuanza kumponda mtu wewe hivyo vijisent vyako mbona hatuvioni?jiheshimu kwanza sio unaongea tu kama mtu aliyekunywa gongo etiii wabeba mabox wewe kwanza unaishi wapi unahishi hizo sehemu au unalopoka tu kama kama zimechomoka jiheshimu sisi wote ni ndugu na tumetoka sehemu moja na kila mtu ana maisha yake hatusaidiani maisha sasa mtu akiuliza kitu ni kumjibu kiufanisi sio kuanza kuponda na pia unaanza kuwaponda wabeba mabox wewe unafanya kazi gani au kufagia balabala acha ushamba kwanza unaonekana bado ni mshamba kama huna la kusema wewe kaa kimya tu sio unaongea kama mtu ambaye hayupo sawa au sio poa hamna noma.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 11, 2008

    SERIOUSLY,inasikitisha kusoma baadhi ya Maoni humu, Kipi KIBAYA alichosema huyu Dada hapa katika kuomba kwake Msaada??!!! Mpaka akapata majibu Ya kwamba ni MJINGA,MSHAMBA AU kwamba Hana PESA.OMG,its so Sad.

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 12, 2008

    NYIE WABEBA MABOKISI ACHENI MCHECHETO NA HIVYO VIHELA VYENU VYA MBOGA. HUWEZI KUBEBA MABOKISI ETI UNATEGEMEA KUPATA NYUMBA MIKOCHENI KWA HELA MBUZI KAMA HIYO. NYUMBA ZA MIKOCHENI ZINA WATU WAKE SIYO WABEBA MABOKISI. WENZENU WOTE WANAKAA CHANIKA AMBAKO KUNA NYUMBA ZA HIYO HELA. MIKOCHENI NI MAFISADI TU NYIE WABEBA MABOKISI HAMNA HELA YA KUPANGA MIKOCHENI ACHENI UJINGA WA KUTAKA VITU AMBAVYO HAMNA UWEZO NAVYO. ETI KWA SABABU TU YUKO ULAYA.

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 12, 2008

    Dr.Kibuyu umenena, wape vidonge vyao wabeba mabokisi waache kukurupuka eti sababu yuko ulaya.

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 12, 2008

    WABEBA MABOKISI HIYO HELA MBUZI NI YA KULA TU.MSITAKE VITU VIKUBWA WAKATI UWEZO HAMNA.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 12, 2008

    UNATAKA VITU VIKUBWA KWA HELA YA MABOKISI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 12, 2008

    Duh! mimi simo.

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 12, 2008

    Wewe unayejiita Kama Kawa, kazi yako ni kubeba mabox nini. Kwani inaonekana kambaulaya kapiga kwenye kiini. Kambaulaya amesema kweli.Watu wanakurupuka tu na vihela vya mabox kwa kutaka mambo makubwa. Hela ya mabox si chochote na si lolote mtapinda migongo kwa kubeba mabox tu. Rudini nyumbani mjiunge na siasa kwani huku watu tunakula kiulaini kabisa. Ukisaini mikataba yako miwili basi unaweza kukaa mahali popote hapa Dar. Siyo hivyo vijihela vya mabox mtapasuka vifua bure.

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 12, 2008

    pole sana dadad nahakika house utapata but ongeza pesa.

    sweet

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 13, 2008

    Neema mimi ushauri wangu kuna mtu hapo juu katoa wazo zuri na katoa namba za simu za baadhi ya watu ambao unaweza kuwapigia ukafanikiwa kutimiza haja zako utapata tu usijali ukifata maneno ya watu hutafanya kitu duniani.Ukiongea na mtu asiyejua kitu sawa sawa unampigia mbuzi gitaa.

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 13, 2008

    Kama Kawa wewe ni jinga fulani usiye elewa mambo na limbukeni wa kuwaza.

    ReplyDelete
  30. AnonymousMay 13, 2008

    Kama kawa endelea kubeba mabox halafu ukirudi bongo utapata nyumba mikocheni.Hela ya mabox hailipi acheni ulimbukeni wa kuiga vitu mikocheni ni kwa watu wenye vijisenti na siyo vijihela vya mabox.

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 13, 2008

    WENYE VIHELA VYA MABOX ACHENI UTOTO.

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 14, 2008

    Sioni tataizo hapo>Huyo dada kasema uwezo wake na hiyo pesa ukitafuta bila haraka nyumba zipo.Toa Dalali unaweza kulipa double bila kujua.Washikaji kibao wanaishi kwa laki 2 mbili mpaka mbili na nusu.NYIE MNAE MKEJELI HUYO DADA MTAJIKWAMUA LINI TOKA KWENYE FAMILIA ZA SHEMEJI ZETU!NI LAANA ILIOJE kusikiliza MNUN'GUNO wa dada yako.

    ReplyDelete
  33. Je unajengo, nyumba,au kiwanja una kodi au kuuza niandikie email nitakupa Coupon zaa kujitangaza bureeee kwa www.pango.co.tz

    lacb@post.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...