timu ya taifa ya mauritius hadi sasa inaongoza goli 1-0 dhidi ya taifa staaz kwenye wanja jipya la neshno katika mpambano wa kuwania tiketi ya kucheza kombe la dunia katika mchezo wa mguu wa kwanza. hivi sasa ni kipindi cha pili na uwanja bado umenuna

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2008

    Maximo sucks!! Mkwasa sasa chukua timu!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2008

    Mhhhhhh Taifa stairs mnahali ngumu sana tena sana kwa mpira huo mnaocheza away kweli mtashinda????swali lipo hapo nyumbani mnatoa droo na hiyo droo ni ya hali ngumu sana sasa je away nani mtamfunga kuweni wajanja jamani inabidi mcheze mpira wa kumuogopesha mtu sio mnacheza mpira wa kusema wa kusema wa droo na hapo inaonekana mlikuwa mnataka droo tu sasa huo sio mpira wekeni mpira mguuni na shindeni kwa mpira huo naona sidhani kama mtafika mbali na hizo droo zenu sasa kama hao mmetoka nao droo vipi cameroon mnaweza kuwafunga swali lipo hapo na nyinyi wenyewe jiulizeni mara mbili kwa mtazamo wangu nyumbani droo sio nzuri kabisa na pia hizo droo baadae mtakuja kujuta nazo.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...