prodyuza mwanga kirahi na mpiga picha anko gunze wakipiga tizi ya namna shirika la utangazaji la taifa (TBC) litavyonasa kwa umakini na kurusha matangazo ya mkutano wa sullivan laivu toka ukumbi wa aicc toka mwanzao juni 2 hadi mwisho juni 6

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2008

    Nakuona Mr. Kirahi, habari za Bongo?tunasubiri uturushie hayo matukio ya Sullivan mpaka nje ya Bongo tuyaone. Naona umejipatia kazi TBC ila ulikuwa unajidai kuwa umefumua bonge la kazi Bongo nikafikiri unaenda kuwa makamu wa Rais, wabongo kwa kuzusha hamjambo! Hope all is well na unaipenda kazi yako.
    Mdau, Ukerewe mjini.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2008

    Safi sana lakini Bwana michuzi pamoja na wadau wote kunakitu nashindwa kukielewa,iweje chombo kikubwa kama TBC,Radio Tanzania n.k kutokua na website ni aibu kama watu kama akina Michuzi,KLH News,Bongo radio,Mzee wa Sumo,Mjengwa n.k ambao kazi yao naiheshimu kwa kutupatia habari bila kuchelewa kupitia katika website au bloggs zao iweje vyombo vikubwa na muhimu kwa taifa kukosa huduma hiyo AIBU Tido uko wapi?MUNGU IBARIKI TANZANIA.
    Advocate Jasha

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2008

    Hivi kwanini swala la broadcasting rights halizingatiwi. nathani ITV wamepewa ruhusa ya kurusha Live na kama television nyingine zinataka kurusha zinatakiwa zijadili na zitoe commission kwa ITV kama ilivyo nchi zilizostaarabika kwa maendeleo ya habari

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 02, 2008

    GOGORO LINGINE NAANZA SASA, ITV NESEMA MENYEWE NAPEWA RIGHTS YOTE, TBC NAYO NAKUJA NA BAVU NAPIGA KUMBO ITV SASA MIMI PANA JUA NINI NAENDELEA DANI YAKE MISHO YAKE HII YOTE NAPELEKWA BUMGE WIKI JAYO JADILI TAKUWA KAMA ILE BUNGE MAKA JANA JADILI PIRA.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 02, 2008

    ITV NA CAPITAL TV HIYO HAKI MLIYOTUTANGAZIA ALIWAPENI NANI??? MBONA SASA TBC1 NAO WANARUSHA LIVE? AU MLIJIPA WENYEWE ITV NDUGU WATANZANIA IMEFIKA MAHARI KUTOFAUTISHA MPIRA,KOMBE LA TAIFA NA MAMBO YA MASLAI KAMA HAYA YA HUU MKUTANO MUHIMU KTK FULSA ZA KIBIASHARA NI VYEMA MKUTANO HUU UNGERUSHWA NA NA VYOMBO VYOTE WANANCHI WAELEWE NI NINI KIANAFANYIKA KWA MASLAI YA TAIFA HIZI HAKI TUZISUBIRI KATIKA KOMBE LA TAIFA.NA KIPIMA JOTO SAA MBILI USIKU.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 08, 2008

    wewe hapo mdau wa ukerewe acha ujinga wako kwani kazi anayofanya kirahi si kubwa mbona wamuonea wivu . Rudi uje ujenge nchi nkama alivyofanya mwenzio sio kukalia longo ongo na utapeli huko. Kirahi mtu poa sana maana hata ujuzi wake anawagawia watanzania han ubanizi na watu kama hawa ndio tunawataka maana jamaa anajituma na wabongo wakiacha chuki watafaidika na ujuzi wake. Mzee Tido hapo umepata mtu kwa hakika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...