

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mwana wane hapo umekumbusha mbali sana, enzi hizo Pamba Primary School,hapo saa nne asubuhi break time tumekimbilia sokoni tukinunua miwa tunamenya kwa meno kwani hapo ukivuka barabara umengia soko kuu
ReplyDeleteNapenda sana uyu jamaa akipata mtandao wa bure utajuatuu,Picture kibao kwa maramoja atumuoni tena kama week hivi.
ReplyDeleteKaka umenikumbusha mbali sana. Shule hii nilisoma primary, then nikasoma na secondary. Mwanza oh mwanza, mwanza nitarudi tena oh...
ReplyDeleteDada Mumyhery umesoma Pamba miaka gani? Mimi nilikuwa primary kuanzia mwaka 1981 mpaka 1986 then 1987 shule ikawa secondary then miaka ya baadae nikasoma tena hapo secondary...
ReplyDeleteNi kweli mambo ya soko kuu. mimi nakumbuka tulikuwa tunavizia magari yanayoshusha maembe toka mikoani basi kwa kuli ukimpa shilingi tano unapata hata maembe makubwa 20! hahaaaa
waooooooooohhhh, Asante kwa hiyo picha ya Pamba (cotton) sec.! kweli nimikumba mbali saaaaana (yaani miaka 15 iliyopita) wakati huo tuna Mwl Ogejo (ukichelewa tu unamkuta getini tiyari kwa kukuramba viboko!!! Headboy akiwa Ngosha na wengine wengi!!
ReplyDeleteIts nice remembering!!!
thnx!!!
hahahaha chama langu hilo pamba sec,mliopita hapo nafikiri mnmkumbuka mzee ogejo,Ngosha ,Clara,James minja man long list ,wali maharage fujo tu vijana ,Pamba oyeeeeeeeee
ReplyDeleteJamaa amenikumbusha mbali mnakumbuka mwalimu aliyekuwa anasema pita mbeleee..mjaluo huyo..Halafu mwalimu Pima(RIP) ambaye alifariki kwa kugongwa na daladala pale Clinic..Mie nilikuwa kilanja wa chakula hapo wakati ilivyoanzisha sekondari..Nikisaidiwa na Linda.....
ReplyDeleteScare Crow, we acha tu mdogo wangu, mimi nilikuwa pale katika miaka ya 1976, wakati mwalimu mkuu mr swai kama sikosei, nilikuwa na kina maamisa jumbe, shubi mbakile, amina kunari, sairabanhu jessa wa chakula bora, kina shenaz, shafin jiwan, shemina bhanji, dadake shyrose bhanji, kilanja wetu alikuwa edith george na msewa, nakumbuka mara ya mwisho mwl mkuu alikuwa mwanamke jina nimelisahau
ReplyDeletekwikwkwi, mmenikumbusha mbali sana, Mwl Berege mama wa Biology, na mwengineo wengi tu, Halafu kuna wakati tuligoma kisa eti kulishwa wali maharage/ugali nyama bila matuda!!
ReplyDeleteNimesikitika kuhusu Mwl Pima (RIP) mzee wa physics.
Je kuna mtu yeyote mwenye kujua Esther Sinkala alipo kwa sasa!!
Aisee kweli maisha ni safari ndefu ,anon 0600pm 05/24 na anon 0725pm 05/24 habari zenu nashukuru sana kwa utu wenu wa kumwombea mwalimu Pima mie ni mdogo wake ambaye Ogejo alikuwa akinisakama sana kani hata mie nilisikitihwa sana na kifo cha brother wangu lakini mambo ya bongo noma kishenzi i think his in better place RIP Borther Pima. We kilanja wa msosi unaitwa nani Dina Rweiza au ? kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa rugano where is he now man.WAnapamba wote ningependa tufanye mkutano man tusaidie shule yetu Bahati wapi unamkumbuka Ogejooooooooo
ReplyDeleteanon9:53 wewe ni Mafele???
ReplyDeletePia kama mnamkubuka Kyokile Kanaku alishafariki (RIP) tunakukumbuka sana hasa kwenye debite.
Wazo zuri la kukutana wanapamba wote, ila tatizo watu hawaonekani!!
OMG kumbe mwl Pima alishafariki? Oh nimesikitika sana. Eh jamani kweli kama kuna mtu anajua alipo Esther Sinkala. Pia Marigo Jirabi na Pata Mkono!, Makene Mafwele.. eh jamani, nimekumbuka mbali.
ReplyDeleteWee anon 1:44 pm unaitwa nani naona unamkumbuka sana Ester sinkala LOL! Marigo naskia yuko USA na Makene Mafwele yuko Arusha ,kunamtu yeyoanajua aliko Ngosha na akina Matayo na Bahati,vipi ogejo bado yuko Pamba,nanilini pamba sec imekuwa High school damn long time man.Naomba anye jua tuelezane wana Pamba oyeeeeeeeeee holla
ReplyDeleteDah kaka masudi hapa walisdoma wanyamwezi wangu kibao wakiwemo ndugu zangu Ma Dr, Nyagonde nyagonde, Eliud simon, Japhet simeo, johnson joachim, Boniphace richard, Gladys Yonah. Ma Engineer, Emanuel mtambalike, Honolatus salvatory,Mwijarubi shida, Mbokera laurent, Denis ndakidemi Peres joshua, Amani maira, Dorice Kyamba,Amosi mwita, Ditric Rwegasira. Ma scientist Alex Daniel a.k.a faga, Richard rajabu zunda, Emmanuel kazi, Beatrice range, hawa rashid, grace rusasa, rosemary masikini, Redempta athanas. Ma Accountant Mwita Nyagonde, Elizabeth nyagonde. Dah ni weng saana kaka nashindwa hata kuwataja wote hiyo ni generation ya 1998-2004 mkuu wanatoa flag kwa kuwakilisha pamba vizuri.
ReplyDeleteHivi mwl Malifedha bado yupo?
ReplyDelete