Picha za uzinduzi wa Shina la Manchester Uliofanyika tarehe 03/05/2008 katika Ukumbi wa A-FE-WE( Ex The grants Arms) Royce Road, HulmeManchesterM15 5BP
Viongozi waliochaguliwa walikuwa wafuatao Daudi Mwakimwagile – Mwenyekiti wa Shina la Manchester
Humfrey Muhanda – Katibu wa Shina la Manchester
Geraldine Mapundi – Mjumbe
Victor Mashamba – Mjumbe
Mariam Jarufu – Mjumbe
CCM Juu!!!
From Mdau Manchester



Duh jamani wazaramo na wamatumbi wa manchesta mnayo bendera yenu ya kibinafsi? maana naona kuna kijitambaa kinanginia pembeni,chini yake kukiwa na chupa za kangara ya kizungu...sasa huko ulaya mnayo mipango ya kushiriki katika uchaguzi mkuu wa uingereza manaake nasikia leba pati ya mzee godoni blauni inayumbayumba...labda mkishiriki mtashinda viti vichache na who knows...tutakuwa na waziri mkuu mdengeleko wa ccm ...kwani kama mjaluo ana uwezo huko malekani basi kule kwa kaka mkoloni tuwe na mchaga kule downing stiliti!!!!
ReplyDeletehao ni wasomi, u waliofunguka macho, sasa sijui vijijini kule kwetu mbeya kama wataipinga CCM, watoto wao ndio hao, kila siku mnalalamika CCM wabaya,haya oneni mpaka hao wanaojua ukweli na tofauti ya system za Tanzania wanaamua hivyo.
ReplyDeleteSIJAWAFAGILIA KABISA, SASA IWE KILA MTU ATAKAYE TOKA NJE YA NCHI AFUNGUE TAWI LA CHAMA CHAKE?? NA WENGI WENU MNA SIASA ZA TAARABU, WALA HAMPENDANI??
naamini ni wakati mzuri sana wenu nyie akina ndugu mfikirie swala la umoja, kuinua uchumi na kupambana na hali umaskini na KUELEZA UKWELI BILA KUFICHA KUWA CCM , HAWAFAI, WAMEUA WENGI DIRECTLY NA INDIRECTLY.
AU KUNA HELA MNATEGEMEA TOKA CCM???, maana nina hakika wengi wenu wala hamkipendi na mnaujua ukweli.
mdau mkubwa
canada
Why a Jamaican flag in the background?
ReplyDeleteKaka Michuzi
ReplyDeleteNinaomba kueleweshwa
Haya matawi ya CCM mnayoyafungua ughaibuni yanamaanisha nini?. nakuomba chondechonde watupie wadau wa ughaibuni ili watuambie wanaona kipi chama chetu cha CCM wanauchungu nacho kama si kutaka kutuzibia nafasi sisi tunaoishi bongo?
Wako mvutakambanyuma
Hiyo ccm ya jamaica nini mbona kuna bendera ya jamaica kwa nyuma.
ReplyDeletehalahala Chuma Chako Mapema (CCM) Msije kuwa mna vikuza vifisadi vidogovidogo huko ukerewe maana naona speed ya kufungua matawi siya kipolepole! maana hao wanachama ndio watakapo kuwa wamechoka kukaa ukerewe au baada ya baba zao kustaafu bongo wanarudi kurithi nafasi katika chama na serikali! Ila I have a dream... sikumoja Tanzania itakuwa bora tu!
ReplyDeleteNihayo tu!!
CHUKUA CHAKO MAPEMA MH!!!!!! UZUSHI HUU MUKIRUDI BONGO HATUWACHAGUI NG'OOO.
ReplyDeleteIs it a way of preparing yourselves to come back to Tanzania-so you can easily be picked for a seat in the Corrupt Money Mongers establishment?
ReplyDeleteI guess you have your long term plan and a very unpleasant one, because then you will start organizing financial contributions to 'support the party back home' while writing your names very legibly in the bank cheques so 'they' can remember you when you are back home and want to enter the HOUSE, huh?
Let me tell you a bitter truth folks, you are in no way helping the development of this country by what you are doing. True countryment live in Tanzania no matter how educated they are, they help open up the 'rotten' sides of our leaders and suggest the best ways to go-though with severe consequences sometimes. I am not being bad or malicious at you as persons, but by what you keep doing, especially in UK just smells like a DIRTY MISSION AND A ROTTEN VISION.
Jaded 'shareholder'
Pole na kazi michuzi, ndugu yangu unajua heshima uliyonayo ni kubwa sana ila inaweza kupungua kwa mambo ambayo unayafanya, kwa kweli mi binafsi sio umuhimu kabisa wa kufungua au kukifagilia chama tawala kwa kufungua matawi hapo UK,
ReplyDeleteumekuwa unaweka matangazo ya CCM humu ndani mpaka inachosha sasa,
mara CCM India mara London mpaka nashangaa,
watanzania walioko nje wanahitaji ushirikiano na umoja na sio kugawanyika kwa chama, ni bora ukaweka habari za dini ingekuwa poa sana ungepata thawabu..
huoni kama unaweza kuchangia ufisadi kwa kiasi kikubwa sana?
umeona kuna kiongozi fisadi aliyewajibishwa kichama baada ya kujiuzulu?
kwa nn unautetetea huu ufisadi wakati uko kwenye nafasi nzuri sana ya kuupinga?
ukiweka koment hii poa na usipoweka poa pia, buteough is enough and msg is delevery..good luck and try to change.
ccm oyee, chama cha wajanja na wenye mafanikio. Sasa vyaaaaaaaaaaaaama vingine mlikua wapi kuanzisha maswala kama aya. Saivi kuna vyama ata vya magolikipa na mafisa**, mmmhhhh malizia menyewe mi naogopa, we si mpinzani! bongo ndo iko ivyo tangu zama!!!!!UPO BABU!!
ReplyDeleteWANAKUITA MISUPU, MI NAKUITA ALAGE MOJA!!! BIG UP. MZIKI WANGU UTAUSIKIA.HA.........MOTH...RB
hIVI KWA NINI HAYA MAMBO YA MATAWI HAYAPO MAREKANI ? KWELI WATU MLIOKAA NJE PAMOJA EXPOSURE YOTE BADALA YA KUIKOSOA SERIKALI MNATAKA KUWA PART YA .....
ReplyDeleteinajulikana fika kwamba nyie hamna mapenzi ya kweli na CCM ambayo inanuka kwa kashfa mbali mbali, haingii akilini mwa binaadam walio wengi kwanini baadhi ya watu wanaonyesha utashi na ukereketwa kwa chama ambacho inabidi kibomolewe na kuundwa upya?, mimi nadhani nyinyi mnajaribu kujiweka karibu na wabadhilifu wa nyumbani ili mkirudi na nyinyi mkawafanye vibaya watanzania kama hao mnao wa support wanavyo wafanya. HUU ndio Ukweli
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteThis is a simple question to ask,
Can anyone of you come up with the proper explanation as to what are the aims of these so called CCM branches, and my guessing is anyone guessing they must be virtual branches to start with, keeps recycling itself over and over the whole UK, just to symbolize its weak presence. I must say they are just air bubbles floating until they burst to reality.
I have seen a lot of SNAPS, from Haki, Mjengwa to Michuzi Blogs, but I have never seen their manifesto. ANd I do believe they are up for something, but what thing ???
Or is it just a social event where Home seek Tanzanians can find a political excuse to go and meet, drink and merry all the way, then that must be an excellent deception, you are pretty much excellent id doing that.
These are some of their response from Haki Blog
"hongereni kwa hatua mliyofikia,jamani tujitahidi vijana tukaongoze nchi,tuondoe mafisadi pale na nchi isimame imara,shule ziwe za kutosha na ada iwe nafuu ,hospitali na barabara za kutosha. wenu ccm mysore"
Do you need to do that in Mysore or back home and telling the law makers to do just that, very verge I must say
This is another one, an excuse for an old age to join CCM.
"
For ten years I did not join any party not even the opposition, why because like many of others; I lost trust in politics, I could only say, I could not do. Today enough of talking ………. It is time to do, the only way I can do is to join CCM. The opposition is not for me I am getting old, so you decide do you have time to talk or to do it????????????????. good night
From M14 4RH"
This is my response to him/her
....that's a true sign of an old age, you end up having a clouded judgement wich wont benefit anyone, me, you and your second and third generation, do you think about them ? It seems to me, you are becoming more selfish by the sound of your comment, and thats the problem with Majority of CCM cronies, and not just yourself.
By Mchangiaji
Nini kuhusu issue ya huyu mwana dada kuwaanika watu wasio na hatia, kwa sababu ya MZUNGU kasema wana hatia.
ReplyDeleteSoma hii comment halafu nenda kwa kwenye blog hii ukatoe hasira zako, watu wengine bwana
Wewe mama unachemsha, huna news, huna mpya, una jump everywhere, non story unazo tuletea.
Hawa sio macriminals, hawa ni watu na maisha yao, na ndugu zao, na jamaa zao na marafiki zao.
Wewe huna haja ya kuwaanika, I will do the same, nitakwenda kwenu Bongo, nitafute stories za ndugu zako na picha zao na stories zako toka ovyo ovyo, najua nitazipata halafu nitakuja kuzianika hapa. WATCH this space.
Wewe watu kuzamia ni kitu cha kawaida si marekani, si ulaya ndugu zake binamu zake rais wa MEXICO, wamevamia na kashindwa kudisclose information to law enforcement na BUSH, kwa kuwapa stara, unashindwa kuwapa stara hawa watu.
NDUGU ZAKE NDIO WANA MORAL ground, kuwatafuta na siyo wewe kuwaanika, na kama ndugu zao wamekutuma sawa na siyo vyenginevyo.
FIKIRI KABLA ya kufanya, na hii ndio sababu ya kupata cha bure, BLOG ZA BURE ZINA MATATIZO YAKE, moja wapo ni hili.
FIKIRI FIKIRI FIKIRI,
Tusome waje kwako na kukwambia, kuzamia kwetu, kumewezesha kupatikana pesa ya kuweza kumpatia mama wa mmoja wao kuwezesha kumtibu cancer, JE UTAWAANGALIA KWENYE USO????
CHA BURE KINA MATATA.. halafu unajiita professional, you belong you must be a white blue collar worker, full of non sense on your head.
Kaka Mithupu!
ReplyDeleteZidhani kama ccm inastahili hili hasa kwa wananchi waishio nje japo ni uhuru wao kuchagua...kwa ufisadi wanaofanya watu wa ccm hatutakiwi kuwaonyesha kwamba kuna nguvu mpya inaandaliwa...au nyie watu wa ukerewe hamna habari na ufisadi ufanywao na viongozi wa ccm???? undeni umoja flan wa watz waishio man...forget about ccm...is the ril bulshit
SIKU MKIAMBIWA WALIOPO UGHAIBUNI RUKSA KUPIGA KURA ZA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO, ZANZIBAR NA WABUNGE NDIO UTAPOGUNDUA SIRI YA KUFUNGULIWA MATAWI HAYA YA CCM. WAKATI HUO HUO VYAMA VYA UPINZANI BADO WAPO KWENYE USINGIZI MZIIITO KUHUSU HILI, WAZEE WA chadema, cuf, nccr, tlp etc etc ...HILI HALIHITAJI ROCKET "SCIENTOLOGY"!
ReplyDeleteWewe any 10:10am,
ReplyDeletehaki ya kupiga kura ni ya kila mtanzania na siyo sehemu ya chama chochote,
Unaona kama tunapendelewa, na siasa zako finyu, SCIENTOLOGY ni DINI, hii inaonyesha ujinga uliokua nao.
Nakuunga mkono mchangiaji wa 10
ReplyDelete:10 am unayosema yana leta maana na ufafanuzi wa kina kabisa! kama wabunge wa CCM bungeni wapo zaidi ya asilimia 80 nikitu rahisi kabisa kuleta mswaada bungeni utakao pendekeza mabadiliko ya katiba ili kuruhusu watu wakaao nje ya nchi kushiriki katika uchaguzi hapo ndio umuhumu wa matawi utakapo onekana! ila mimi binafsi nimechoka na maneno matupu! ukitafakari kwa makini nchi hii ina wasomi wengi sana ambao wanauchunu na Tanzania yetu ila wanangojea mpaka atoke mtu wa kumfunga paka kengele ili nawao watafutie umaarufu katika "shujaa" mmoja wapo tuliyaona ya zito kabwe kaibua mambo ya maana watu wakamshangilia na kutandika kanga barabarani ili apite juu yake, mapambano yameishia wapi? au kwakuteuliwa kwake kwenye kamati? Haya matawi kuna kitu tu viongozi wetu wanajua kuwa waTanzania tumepewsa laana ya ukosefu wa Kumbukumbu kwahiyo tukae chonjo na haya matawi! we need new vigour in opposition party! wazee wetu wakina mrema, lipumba na mbowe wanaonekana kuchoka na kufilisika kisera za mapambano! unajua ukiwa unalala ndani ya maji kama chura mwisho wake utazoea na kuona hapo ndio kwako wapinzani wameshazoea kupiga kelele tupu sasa "we need change in the opposition" we need a new plan!
Unafiki tupu! Kama CCM inapeleka nchi vizuri kwa nini mmekimbilia huko? Njoni bongo 'muone joto ya jiwe'
ReplyDeleteNajuwa watu wanatafuta umaarufu, lakini kuutafutia kwenye CCM hapo mmechemsha. Laki siwashangai sana maana hata ndugu zetu ambao wananunuwa mkate kwa pesa yao milioni 20 bado kuna watu wanakiona chama kilichosababisha hayo kama bado 'ni bomba'. Kweli aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa!
kunavitu vingine havihitaji kuwaza sana hadi upate majibu.mojawapo ni hili la ufunguzi wa matawi ya chama.
ReplyDeletekwa haraka tu unaweza kujiuliza maswali machache na upate majibu.
1.je kwa ukweli ni vijana wangapi wa kitanzania ambao kwa upenzi tu wasiasa wanajihusisha na siasa ukiondoa lengo la kujisetiri kimaslahi ya maisha[fedha ya kuishi}?
2.je ni rahisi kweli kwamtu aliye chakarika mwenyewe akaenda kusoma nje nahuko anajisomesha kuwa na muda wa kujiingiza ktk siasa tena mbali akijuwa hana direct inflence kwa wanachi kwa wakati huu akiwa nje?
3.je tukichunguza kwa makini tunaweza kupata kati ya hao wanachama ambaye hanalengo lolote la kupenetrate kwenye system, ila anatoa mchango wa hali na mali kukichangia chama tu,huku nduguzake wa karibu hata wengine hela ya karo ya shule hawana na hawasaidii?
majibu nayo yapata yananishawishi kukubali kuwa hawa ni wawekezaji ktk siasa,wenyelengo la kupenetrate system kwa kujiweka karibu na serikali ili waonekane kwa urahisi kwakuwa wako nje,na kwakuwa baadhi ya wabunge na viongozi wa ccm wako masomoni au ktk ziara wawe wanakutana nao ili baadae wawalink ktk ama siasa, au ajira sa serikali maana wanajenga historia.
lakini sikilizeni ndugu zanguni,kama kweli nia na lengo ni hilo,huku ndio tunaita KUJIKOMBA wakati unajuwa from the deep botom of your heart, huipendi siasa, ila unajilazimisha tu kwa ajili ya kukidhi maisha! and if that is the case, then unaweza ku predict your ill intention in the future utakapotaka nawewe kuchukua chako mapema maana it was aserious business na hukupoteza muda bure.na kama ndiyo hivyo then UTAKUWA NA MUDA WA KUMKUMBUKA MWANAKIJIJI AMBAYE COCACOLA ANAINYWA KUPITIA NDOTONI TU?
if you are good enough guys help your relatives back home na sio hayo mnayoyafanya huko,or else anzisheni jumuiya za umoja wwatanzania bila itikadi za vyama you will enjoy each other's company while abroad,and when you are back home still you will cooperate sincerely!lakini kwa mtaji huu nikujiwekaktk matabaka ya chuki maana wengine ndugu zetu wanateseka kisa siasa sa kifisadi,kufumbiana macho unachukuwa kisha unaachia ngazi,huku nduguzetu wanakula majani kama herbvorous huko vijijini na nyie babazenu wana abuse office za serikali huku mkipeta!think about that
Kuna msemo wa kiswahili usemao 'aisifuye mvua itakuwa imemnyeshea'. Kwa hiyo si bure ndugu hawa wanaendelea kuunga mkono CCM, naamini kwa njia moja au nyingine watakuwa wamefaidika na chama hiki. Sasa siwezi juwa kwamba ni kihalari au kifisadi- fisadi. Na ni ubinafsi huu unatumaliza watanzania. Kamwe hatufikirii nchi zetu kama kitu kimoja. Mtu anaangalia tu kwamba kapigiwa debe na mkuu mmoja wa chama akapata hiyo skolashipu basi kichwani mwake huwezi kumwambia lolote hata kama kijijini kwao hakuna maji, shule, hospitali nk kunakosababishwa na ufisadi wa hao waliompigia debe.
ReplyDeleteWaafrika....., hivi ngozi nyeusi ina laana?
Mimi nataka kujuwa ni lini wanakuja kui-CCM tanzania!
ReplyDeleteMzee Michuzi nafikiri utakubaliana nami kwamba baada ya CCM kubainika kwamba ni nchama kilichojaa mafisadi ndipo ufunguzi wa matawi ya CCM nchi za nje umeshamiri. Kuna mchezo mchafu unaandaliwa hapa! Sasa wanajuwa kwamba wabongo wanaoishi TZ hawakitaki tena chama hiki kwa hiyo njia iliyopo ni kupata wanachama 'kivuli' ambao hawali machungu ya CCM ambayo wanayoishi Tz wanayala.
ReplyDeleteMtazamo huu ni potofu maana utakuja sikia kura za CCM zilizotoka nje ya nchi ni nyingi kuliko zilozotoka Tz.
Chonde chonde wadau tuwaachie walioko huko tz, wao ndiyo wanajuwa chama gani kinawafaa.
ninge wafagilia sana kama ningekuwa naona matangazo ya kuwa JUMUIA YA WATANZANIA WAISHIO [MANCHESTER,LONDON E.T.C] IKIWA IMEKUTANA KUCHANGIA UJENZI WA CHUMBA CHA UPASUAJI KTK KATA FULANI. au kuchangia fedha za kuwalipia karo watoto yatima nchini tanzania japo walau 5.
ReplyDeletelakini nikisikia mnaanza mbwembwe zilezile za tangu zamani za TIENITIENI KWA MOYO MMOJAAA No.1 ni CCM Ifeel like ican puke!!!
maana babazenu,nyie,na wengine wanaofanana na nyie, historia inawasuta waliyoyafanya hadi nchi ikafika iliko sasa,viongozi walikuwa safi walizibwa midomo wakawekwa ktk dogma za chama,walio jifanya wasemaji wasionyamaza walinyamazishwa kwa njia tofauti,yote hayo nyie mnadhani niwajanja sana wa kuyakwepa hadi mlete mabadiliko?tunajuwa shida ikowapi hivyo msituzuge,nchi yetu inacho hitaji sio siasa bali inahitaji DEDICATED SCINTISTS & ECCONOMISTS! thinkers and doers who can change the whole patern and dogma zilizo tufikisha hapo.lakini kwa muonekano tu, watu hao sio nyie maana wengi wenu mnaonekana mna uchu na kujulikana ili mje kupewa KULA muanze kufuga vitambi na wengine mpeleke vitoto vyenu nje tena kiulaini!
watoto wawakulima walioko nchi kama china,urusi,cuba, pamoja na masela walio jitahidi kivyao wakaenda US hawana ujinga ujinga kama wenu!ila nyie mliopewa ama scholarship za serikali ya uingereza ama kupelekwa na wazazi wenu mafisadi ndio mnao sumbua na matawi ya ccm! we know u!!!we will deal with u back home,, u will reach no where,zamani ilikuwa rahisi lakini sasa is too late buni njia nyingine ya kula nchi
Kwa hakika inatia kichefuchefu kuona kizazi kipya kina mawazo mgando. Lakini tukumbuke kuwa kiasi fulani cha vijana walio ughaibuni ni watoto wa mafisadi wakubwa na wadogo wa Chukua Chako Mapema. Mtoto wa nyoka ni nyoka!
ReplyDeleteSiungi mkono wazo la vyama vya upinzani kuiga uhuni huu wa kisiasa.
jacky, tuwasiliane
ReplyDeletejstella36@yahoo.com
Chama kimejaa mafisadi tupu... hakuna pa kukanyaga. Hata yule 'dubu' aliyehubiri uwazi na ukweli amemeng'enya uchumi wa nchi. Tumwamini nani CCM?
ReplyDeleteNyie ishieni kufungua matawi. Sisi tunatafuta kasi ya mabadiliko... lazima tuwang'oe.
Tena ninyi si ndio marafiki wa madikteta wa Afrika? Akina Museveni ...wasioamini kuwa wengine wanaweza! Twaja. Kaeni chonjo maana tunataka tuwanyang'anye hata mlivotuibia.
Mtoto wa nyoka ni nyoka. hawa jamaa wanaofungua matawi ni watoto wa wazee wa vijjsenti hivyo wanajiandaa kurudi bongo kwenda kupokea vijiti toka kwa wazee wao ili wavilinde vijisenti vilivyofichwa.
ReplyDeleteAngalieni kwani hata siku moja hatujawasikia mkichachangia maendeleo kama ya shule au hospitali ila kazi yenu kufungua matawi ya CCM (chama cha magaidi wa uchumi)tu. Haya sisi tunawasubiri bongo ila kumbukeni nchi haiongozwi kifalme
I’m not speaking on behalf of all people living abroad, but my thoughts, may be will highlight the grim reality of life in abroad than many people could have anticipated.
ReplyDeleteI know many people back home believe everything down here is as ‘rosy’ as it appears to look in a ‘fancy Hollywood’ movie. Yes, it could be true in some aspects (yes, I mean some!) but that doesn’t directly mean they aren’t ‘mediocre’ people in the ‘first world’. In fact, there are as many ignoramuses in these countries just like in anywhere else.
Sadly, many people back home would be prejudicists by generalising the current situation that “all Tanzanians abroad are the same and alike” with this bunch of so called CCM members in Reading and now Manchester etc.
We all know them, though we can’t name names here! Indeed, I can’t count in anyone there with the credentials to lead from front and make the change their fellow members anticipate and deserve back home. They are just group of ‘cheap’ people with selfish desires to enrich themselves before our poor people.
It’s true that CCM needs people with ‘merits’ to take them through the bump road they are ridding on at the moment, but I can’t see that dream to be realised through these people.
Mzee Wauyagauyaga
ni njaa tuu na mawazo backward ndio maana wanafanya vitu ka hivi vya ajabu ajabu...US huwezi kukuta uzushi kama huu maana watu wako busy kufanya mambo ya maana,yaani ni aibu tupu!
ReplyDeleteSWALI LANGU MOJA TU "NI NANI ANAYE DHAMINI HIVI VIJITAWI VYA CCM?"
ReplyDeleteby mzawa
Hizo ni mbwembwe tu. watu wanakutana kukata kilaji na other social network. I do'nt think kama kweli hata hiyo THITHIEM wanaijua. Cheap popularity acheni. Tuna mamabo muhimu kibao ya kuanzisha tukiwa ughaibuni badala ya kuendeleza mbwembwe za mmatumbi. Issues kama strategic business planning, watu wawe na mbinu za kisasa za kuinua hali za maisha. miradi, elimu Afya, usafiri n.k badala kuanzisha mbwembwe za kisiasa.
ReplyDeletekaka michu na wengine nina swali.
ReplyDeletemi nilijishajipiga baada ya life kuwa ngumu hpa ughaibuni niawa mnyarwanda kwa karatasi,na ninaipenda ccm ,siweji kuitumikia ccm kama hao jamaa zangu wengine?
NYIE MNAOJIULIZA KWANINI NI UINGEREZA TU MATAWI YA CCM YANAFUNGULIWA NA SIO MAREKANI,JIBU NI DOGO SANA KUSEMA KWELI WATU WA UINGEREZA MAISHA YAO MAGUMU UKILINGANISHA NA WATU WAMAREKANI.KWAHIO SWALA LA WAO KUJIPENDEKEZA CCM NIKUJARIBU KUJISITIRI BAADAE KWANI WATAJIKUTA WANAKUFA MASKINI HIVI HIVI.OPORTUNITY WANAZO PATA WA TZ WALIOMAREKANI HAWE KASOMA AU HAJASOMA NI TOFAUTI NA UINGEREZA. UINGEREZA UBAGUZI NI MKUBWA SANA KULIKO MAREKANI KATIKA NAFASI ZA KAZI.KWAHIO TUSIWALAUMU SANA KWANI WAKO UKEREWE NDIO LAKINI BADO NGOMA ZAO NGUMU.HAO WATU WANAOJIPENDEKEZA KWA CCM UK SAWA SAWA TU NA MFANYAKAZI ANAYEKUBALI KUNYANYASIKA KWA TAJIRI YAKE WA KIHINDI(INDIAN} KWA VILE NI MASKINI NA HANA JINSI YA KUJIKOMBOA KIMAISHA KWA NJIA NYINGINE.
ReplyDeleteujumbe kutoka kwa msema kweli
WATU WALIVYOKUWA MALIMBUKENI WANA SHINDWA KUJUA HAPO UINGEREZA MNGEJIUNGA KUFUNGUA CHAMA AMBACHO KINAWASAIDIA WATANZANIA WA NYUMBANI MNGEPATA MISAADA MINGI TU AMBAYO MNGEWEZA KUWAPELEKEA WALENGWA NYUMBANI KAMA WATOTO WASHULE NA KUCHIMBA VISIMA MPAKA VIJIJINI.MNGEPITA MAKANISANI NA MISKITINI WATU WANGEWACHANGIA KWA HAINA YOYOTE,PIA MNAWEZA KUPIKA VYAKULA VYA NYUMBANI HAINA TOFAUTI MKATANGAZA KWAMBA MNAFANYA FUNDRAISING NA WATU WENGI HUKO WAKAJA KUNUNUA CHAKULA KWA LENGO YA KWAMBA HELA HIO INAENDA KUSAIDIA TANZANIA NA MNGEPATA BARAKA ZA WANANCHI NCHINI KWENU KUSHINDA HAO WAZEE WA VIJISENTI.SEMA TATATIZO NDIO KAMA HIVYO KILA MTU ANA MASLAHI YAKE BINAFSI ANAPOFANYA JAMBO.KUNA NJIA NYINGI AMBAZO MNAWEZA KUWASAIDIA WANANCHI WANAOPATA SHIDA TANZANIA KWA NYINYI MLIOKUWA NJE MNATAKIWA MUWE MSHAONA HAYO SEMA NDIO HIVYO LENGO LENU KUWAKANDAMIZA HAO HAO WALALAHOI AMBAO WENGINE WENU WAZAZI WENU TAYARI WASHAWAMALIZA VYA KUTOSHA.
ReplyDeleteby mpenda haki
Wabongo wa USA ni wajanja huwezi kukuta wanajihusisha na ujinga kama huu. Mnatia aibu sana nyinyi watu wa UK, yaani nawafananisha na wale wa Bariadi waliojipanga mistari kumshangilia Chenge.
ReplyDeleteWalikuwa wameshavuta bangi zao hao mpaka bendera ya jamaica walisahau kuitoa . eti matawi ukiwauliza katiba,ilani, na muongozo wa CCM unasema nini hawajui hao ndio wale ndugu MISHUZI ooppss ndugu Michuzi samahani mkuu wa wilaya tunaosema wanafiki na wanaojipendekeza ubalozini. na wengine wamewekwa chakula cha mafisadi wakija mapumzikoni UK. mdau Paka la Jikoni
ReplyDeleteThe difference between UK and USA is that in the US people have to work hard unlike in the UK most Tanzanians are on benefits, thus they have too much time on their hands.I know, i live in the UK.
ReplyDeleteMdau UK.
Michuzi:
ReplyDeleteIt is going to be very prudent on your part to stay away from these CCM propaganda. Each day they are coming up with CCM branches mostly in the UK, and I am sure they have more than 20 branches in London alone.
These people know clearly well how corrupt the CCM is. Mimi kwa upande wangu naona hawa ni watu wa njaa kali wanajaribu kuingia CCM ili wapate ulaji. Maisha yamewashinda Uingereza.
Alafu ukitaka kujua hii shuguli ni feki ni kwamba mbona hilo shina feki lipo katika ukumbi wa kijamaika?
Michuzi, CCM imetuchosha naomba usiwaweke humu tena, basi kama unatenda haki, waweke na Chadema tuone kama Blog yako itakuwepo.Wote ni makada ya CCM mnatumiwa na mtatupwa
Mtasema mtachoka, CCM itafungua Matawi mpaka USA, watakao taka watajiunga na wasiotaka hawatajiunga. Mabadiliko ya nchi sio lazima yaletwe na wapinzani, hata ndani ya CCM inawezekana. kama kuna mtu yenyote ambaye hakupendezwa na mashina ya nje ya nchi hiyo ni. matatizo yake, hakuna mtu wa kuwasaidia.
ReplyDeleteWe anon may 13, 2:53 unanukia harufu ya Mzee Yusufu maana hizo sentensi zako wangu!mtasema sana, mtachoka, nampenda sana n.k, n.k. we umechukia hapo juu mnapouza sura hakuna alowatazama ndo mana bwabwaja sana. Tunachotaka mabadiliko ya nchi hapa haijalishi ndani ya upinzani au ccm tunataka ahuweni ya maisha hapa(maisha bora) kwa Mtanzania wa hali zote,siyo pekeyako vile uko majuu eti unapumua na kuonyesha maigizo yako hapo juu. Potelea popote tanzania itajengwa na wenye moyo siyo maigizo ya kufungua matawi tuu.
ReplyDeletekwa by Mchangiaji and company
ReplyDeletemnakaribishwa wote kwenye Maandalizi ya kufungua shina la CCM Liverpool.umoja ni nguvu. kidumu chama cha mapinduzi, kidumu chama Tawara, CCM inawenyewe na wenyewe ni sisi.
Tawire! tawire! mchungaji na company yako sio chama Tawara bwanaaaa rekebisha ulimi hapoooo ni chama Tawala bwana tena usijesema hiyo ni typing error hiyo ni lugha ya crazy hipo anatia Tra tra tra traa tra triga ritmo tirala dice grrr grrr grrr
ReplyDeleteKwa Mzee Wauyagauyaga
ReplyDeletePamoja na kwamba English yako ilikuwa na good vocabulary ila your grammar needs improvement.Kwanza kabisa kidumu chama Tawala, Mimi ni CCM damu, naelewa kuwa it is unhealth to have one strong political party, we need an authetic political opposition, na opposition sio ya maneno matupu kama yako, yasio na vision, wewe ni nani ku judge wengine?.na "who is we"?, who told you that your expensive to consider others cheap? who is our poor people! i can tell you are not rich. You can have good football only if you have many teams, nachokwambia ni kuwa opposition parties in Tanzania wako weak kama wewe, they always let people down, there is no profiting in joing weak opposition, we need changes inside CCM and then reform the opposition. and for your info Taja majina uliyo nayo usitutishe.
Nyanda
Br michuzi, nimegundua huku kijijini kwetu watu ni wachokozi sana. Eti wanauliza kwa nini branchez zinafunguliwa UK kwa sana, kwani hawajui kuwa ndiko kuliko na akaunti nyingi za mafisadi?
ReplyDeleteJamani acheni ushamba... na ubustani... UK kuna akaunti za mafisadi kuliko 'ng'ambo' yoyote! Na mafisadi wengi wako CCM! Kwa hiyo hamtaki wajilinde? Mbona wabongo hatuna upendo lakini? Jamaniiiiiii ni fo sekurite papasez!
Seve