wadau kibao wa kanda ya ziwa wamekuwa wakiniandikia email kuomba kujua wafanye nini ama waende wapi katika kusaka ujuzi wa teknohama hasa katika jiji la mwanza.
baada ya utafiti nikagundua kumbe university computing centre a.k.a UCC wana tawi jijini humo na tawi hilo lina wataalamu waliobobea katika fani na hawana noma katika kufundisha. nilipowauliza wataalam hao (pichani) wakasema kuwa hapo tawi lwa mwanza wana vifuatavyo:
- UCC upate Training,
- ICT short programme,
- AcademyCourse like CISCO,
- IT ESSENTIAL,
-Linux Administration
-networksystem,
- Internet provision
habari zaidi nenda www.ucc.co.tz


Biashara matangazo au kujitangaza kwa picha.Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Tumewaona haya.Jingineeee.
ReplyDeleteJamani USO UMEUMBWA NA HAYA na UTU UZIMA JIWE jamani.........kaka mwenye shati la kijani nimekumaind na nimekuelewe kiutu uzima
ReplyDeleteMwana haliye vaa tisheti nimuda mwingi humepita kuonana kwani uliniacha pale udsm nikimalizia nami mambo ya computer.Nashukuru nimekuona wewe mzima poa kamueni IT kwani ulimwengu wa sasa ni wa IT.big up sana ucc mwanza na kote tanzania.
ReplyDelete