kwa mujibu wa mratibu dj luke uhondo huu wa vijana wa zamani utafanyika columbus, ohio. kwa maelezo zaidi nenda www.oldskoolnjoo.com na mambo yatakuwa mswano.leo nimekutana na dj bonny luv naye kasema anajiandaa vilivyo na hataki mchezo. anakuja columbus na zote za enzi za mbowe, new africa (ghorofa ya saba), motel afrique na bila kusahau za ymca pamoja na new vision ambako dj luke alikuwa akitesa...kazi kwenu vijana wa zamani, msije sema mmestukizwa. mnataarifiwa mapemaaaaaa....
dah! nakumbuka hilo songi la maiko jekson njoo...sitaaaaaki....kama hutaki nenda...


haha haaa.... Hata mie huo mwimbo wa Michael Jackson wanikumbusha enzi hizo, ama kweli disco zilikuwa enzi hizo. Kulikuwa hakulaliki.
ReplyDeletemama