BONGO FAMILY UK PRESENTS...
SPRING BREAK TOUR '08 (A BIG BANK HOLIDAY WEEKEND)
FEATURING: ALI KIBA
PERFORMING HIS HIT SINGLE CINDERELLA, NAKSHI NAKSHI, MREMBO AND MANY MORE.....
THIS TIME WE ARE KICKING OFF FROM
THIS TIME WE ARE KICKING OFF FROM
SCOTLAND ON FRIDAY 23RD @ TIGER TIGER CLUB GLASGOW
MANCHESTER SATURDAY 24TH @ AQUA BAR
BIRMINGHAM SUNDAY 25TH,
AND FINISHING UP IN LONDON ON FRIDAY 30TH @ CLUB AFRIQUE
FOR MORE INFO
FOR MORE INFO



Michuzi ROHO MBAYA hiyo...Tupe HONGERA zetu MAN U au umesahau haya bwana.....
ReplyDeleteMkuuu misupu naona umetupiga kapuni daa sio vizuri tupe hongera manchester kwa kazi waliyofanya maana naona wanuka midomo leo wametulia kimya kabisa.Ok anyway sasa mkuu misupu sisi wengine tupo manchester sasa hapo sijaelewa kitu kabisa yaani hiyo ilivyo sawa sawa mtu anakualika dar kwenye harusi alafu anakuambia karibu dar es saalam kuna harusi sasa hapo swali linakuja dar kubwa sana hiyo harusi itakuwa wapi?ni sawa na hiyo ni kwamba hapo wamesema kwamba alikiba anakuja MANCHESTER sasa manchester kubwa anakuja show atafanyia wapi atuambie na sehemu ataayo fanyia show watu tutie timu kama vipi ila kama hilo tatizo hapo limetosha sijui kama tutafanikiwa kwenda.
ReplyDeleteMdau namba 2 acha ushamba si unaona hapo wameandika sehemu atakazo piga au ndo unatatujue nawe waishi ulaya,tafuta mbinu nyingine ya kuosha kinywa.
ReplyDeleteMkkt
AAH MI NAMTAKA M B DOGG TU!HAO WENGINE MI SIWAJUI,ILA HUO WIMBO WA CINDERELLA NILIDHANI MATONYA NDO KAIMBA,KAMA KAIMBA HUYO MTOTO BASI TALENTED!ASITUBOE TU KAMA WALIVYOTUBOA WALEEEEEEEEEEEEEE.......MA MDOGO UK
ReplyDeleteWE ANON NAMBA MBILI ACHA UZUZU WEWE!SI UMEAMBIWA MANCHESTER ANAPIGA AQUA BAR?SASA ULITAKA UWAMBIWEJE TENA?AU HATA AQUA BAR PIA UNATAKA UELEKEZWE?WEKA POST CODE,KAMA TOM TOM HUNA MWAMBIE ALI KIBA AJE KUPIGA NYUMBANI KWAKO,OVYOOO...MA MDOGO UK
ReplyDelete