nala pozi na wadau wakubwa wa globu hii ya jamii ambao pamoja na nyie wote msiochoka kuperuzi humu kila siku na kila mara ndio pumzi yangu katika kuendeleza libeneke. nawashukuru na kuwaheshimu sana wadau wote popote mlipo duniani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2008

    Duh Mzee Issa umenikumbusha rafiki yangu sana tena wa siku nyingi aitwaye Octavian Barnabas a.k.a OC.
    Mwambia rafikiye wa Malaysia anamsalimia sana na asikae kimya hivyo.
    Big up kwa wadau wote.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2008

    Tatizo lako wewe misupu comment za baadhi ya watu hutaki kuzitoa.Sasa naomba utoe muongozo comment za unazotaka ziwe za aina gani?Karibu nataka kuamini kwamba kuna ufadha kwenye hii blog.
    By KK

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 11, 2008

    Kweli bongo tambarare... naona wadau shavu dodo!

    Tuko pamoja bwana misupu. Aluta continua.

    Ignorant, jeremani

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 11, 2008

    cool...
    huyu kaka mwenye shart yenye draft ni Octavian Barnabasi? kama ni yeye naomba tuwasiliane kwa mobile yangu hii +47 98 48 11 05
    mimi classmate wako Azania Sec Sc in late 80's & early 90's

    Cheers.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 11, 2008

    Huyo Shoto sio Mrema, tuwasiliane.

    Usagara High

    abd_kib@yahoo.com

    Shukran.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 11, 2008

    wabongo jamani kwa kufuga vitambi tu hatujambo!lakini ndio poa sio kuonekana mpauko tu hatakama mafisadi wanakamua nchi.hayo mambo ya chips dume kwa dagaa!nakumbuka lilesongi la TUMBO DENI LA DUNIA, WE MWENYEWE FIKIRIA!hahahaa miaka michache kama 9 hivi iliyopita.na ule kama tumbo lingekuwa la kioo!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 11, 2008

    "kuwaheshimu sana wadau wote popote mlipo duniani".. kaka michuzi unatunyanyasha wapenzi wa Man United.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 12, 2008

    Duu! OC nimefurahi kukuona,ni miaka mingi sana, nisalimie Faith na mama Yake.- Mama D

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 12, 2008

    Ebwana long time, huyo jamaa mwenye draft jina limenitoka ila ulikuwa unakuja sana kwa Mzee wako Mikocheni I hope unanielewa. Baadae tulikutana Azania, Ah hii global kweli inatukutanisha.
    Mikocheni-1987

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 12, 2008

    Mrema, unakula nini wewe! naona TTCL hakuongopi. Punguza bwana usije patwa na BP. Tuwasiliane bwana.

    Nyang'oro, USA

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 12, 2008

    OC uko level kama mzee wa visenti, Dah! mshikaji wazee wa SCI Wanakutuhumu uliwachunia pale Azania front kwenye harusi utafikiri ile harusi ulikuwa umeinunua? Acha hizo dogo!!

    Wadau

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 12, 2008

    Mh! Michuzi hicho kitambi au? nahisi shati lako limetuna kwa kwenda mbele.

    Mzee sasa inabidi uongeze safari za gym kwa kweli, na upunguze swala wa break-point. Maana nahisi punde ze fulanaz haitokutosha tumboni.

    Mdau - Amsterdam

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 13, 2008

    Nakuona OC!Victor Hapa, IFM!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 13, 2008

    Mzee OC na Mrema vipi? Mnakumbushia mambo ya Usagara mabangi? basi tuweasiliane

    Mdau, Houston Tx.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 13, 2008

    misupu naona uko na jamaa wa TTCL .....

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 13, 2008

    HONGERA MICHU KWA KUBADILISHA SHATI!
    Vena
    Arusha

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 13, 2008

    Michu umenikumbusha mbali sana, Head brother wangu Usagarani Uhuru Park Hostel Freedy Mrema naona katulia sana, jamaa alikuwa hana noma kabisa akikuta hufanya usafi eneo lako anakwambia " Mshikaji vipi naona leo ulisahau kufagia eneo lako au jamaa wameisha lichufua, maana naona kama bado chafu vile!" hapo wewe mwenyewe kwa aibu unachukua fagio na kwenda kusafisha. nilisikia umepata mtoto hivi karibuni hongera sana. Unamkumbuka Shao rafiki yako?

    Mdau, Asst. Hostel Brother baada ya ninyi kumaliza.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 13, 2008

    Mzee Oc naona umetulia hapo mambo mazuri namshukuru Mungu kwa maisha yako. Wacharaze kwa vile viboko vya Macho Ni mimi Mzee wa bila Manual USA

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 13, 2008

    Jamani, vitambi sio dili. Kun'radhi, yanipasa kusema hili kwa sababu wake zenu wenu ninyi wenye vitambi wanatusumbua sana.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 13, 2008

    Kaka michu uniform ipo wapi? au kuna sababu ma'rumu yakuto valiwa? fulanaz, fulanaz,ulanaz

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 13, 2008

    duh, we mrema nimekubali TTCL Dr Kilimbe aliacha mazingira mazuri ya kupata zawadi maana umechana si kitoto. Mimi Dr Alex Rwiza a.k.a KIBINGWA au Bileku. Tuwasiliane tafadhali. Pata namba kwa sista Leticia

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 14, 2008

    OC kumbe wewe Alwatan kiasi hicho ... sikujua libeneke ya Block C utaiamishia mtaani

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 15, 2008

    MH."DC" WA TEGETA NINAFURAHI SANA PALE UNAPOKUWA UNAWAJARI WADAU WA KIJIJI CHETU HIKI CHA MICHUZI NI JAMBO JEMA SANA MAANA BILA WAO KWA KWERI MAMBO HAYAWEZI KUWA MSWANO,NASI TUNAKUKARIBISHA SANA KWA FUNDI VIATU RAS MAENEO YA STATION KARIBU NA LONG ROOM PALE UTAKUTANA NA WADAU WAKO PIA,KAMA WALE WA KWA FUNDI MUSA WA EMPRESS

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...