HELIKOPTA ya Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (pichani ilipokuwa imepaki uwanja wa arusha kabla ya ajali) iliyokuwa ikifanya doria wakati wa Mkutano wa Leon H. Sullivan uliofanyika mjini hapa wiki iliyopita, imeanguka na kuua abiria wake wote sita. Kwa habari kamili bofya hapa

tatizo kubwa ni ubahili sjui wa mafuta au nini,ni nadra sana kuona marubani wakifanya mazoezi kama zamani au kamailivyo nchi jirani ya kenya,JK kama ulivyo amiri jeshi mkuu,wape jamaa uwezo wa kufanya mazoezi mara kwa mara la sivyo, iktokea balaa ujue ndege zitaanguka wakati zinaruka.
ReplyDeletepole wafiwa na watanzania wooote
ukipiga ramli hapo lazima mchawi aonekane
ReplyDeleteacha ushirikina wewe anon 2 MUOMBE MUNGU BABA WAKO.kila mtu na mauti yatamkuta
ReplyDeletemz. sekila