Meneja Matukio na Promosheni wa Vodacom Tanzania, Rukia Mtingwa (kulia) akikabidhi sh. milioni 40, kwa mshindi wa bahati nasibu ya 'tuzo droo' Al-Karim Daudi katika hafla ya kukabidhi hundi iliyofanyika leo dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 20, 2008

    Aliyeko kulia ni Rukia mtingwa au macho yangu!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2008

    Bongo kwa uzushi eti Muhindi kashinda 40m kama sio kutuzuga ni nini hapa hakuna ukweli hapa changa la macho tu hili. Haya na bahati na sibu hiyooooo!!!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2008

    Rukia mtingwa Kulia?
    Shoto bwana.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 21, 2008

    Vodacom acheni kuongezea wenye nacho iyo tuzo point mmeiweka kwa ajiri ya matajiri tuu,maana lazima uwe unatumia airtime za kufa mtu ndo upate zawadi,we check ukitaka upate simu lazima ufikishe pointi 30,000-50,000,wewe mie mlalahoi toka ilo shindano lianze nina pointi 2500 means kwamba hata zawadi ya sms sijafikia,sasa kama utashinda 40ml means unatuzo za kumwaga,sasa hiyo sio kuleta zawadi kwa wachini hata kidogo,ni kuzidi kunenepesha mifuku ya wenye nazo,igeni mitandao mingine bwana,mlalahoi kabisa anachekelea,NI HAYO YUUUUUUUUU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...