Miss Universe Tanzania 2008, Amanda Ole Sululu akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimatifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam mchana huu tayari kwa safari ya Vietnam atakakoshiriki mashindano ya Miss Universe ambayo fainali zake zitakazowashirikisha zaidi ya warembo 80 kutoka katika nchi mbalimbali duniani zitafanyika Julai 14 mwaka huu katika mji wa Nhatrang nchini humo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2008

    Ee bwana OLE SULULU imenikumbusha bali sana, wakati nikiwa KAZIMA nabukua form 3&4 miaka ya mwanzo ya tisini LITERATURE the book Called IS IT POSSIBLE?, nakumbuka OSOKONOI TREE the tree with bitter fruits called OSOKONI, that's when OLE SULULU started to beat other colleages lile LEKAKENY, nakumbuka also CALABASH, which used by OLE SULULU'S mother to pour milk for her son before were taken to school. It's good story

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 19, 2008

    Hilo jina sululu ninanikumbusha mchezaji mmoja wa basketball alikuwa jeshini kaka mchagga alikuwa mrefu huyoo!!!mmachame alikuwa anaitwa Billy au sululu..

    ReplyDelete
  3. ANNON WA KWANZA NGOJA NIKUPATIE VERSE ZA IS IT POSSIBLE HAPA,
    LERIONKA IS A YOUNG MASAI BOY WHO WENT TO SCHOOL AGAIST IS FATHERS WILL, AS A RESULT OF AN ORDER ISSUED BY COLLONIAL GOVERMERNT THAT EVERY FAMILY MUST SENT ONE SON TO SCHOOL TO BE EDUCATED,LERIONKA'S FATHER CAN SEE NO BENEFIT OF BEING EDUCATED HE HAD AFRAID THAT IS OLY SON WILL LOSE IS IDENTY AS A MASAI.IT IS NOT POSSIBLE TO HOLD A SPEAR IN ONE HAND,SWORD AND BOOKS ON THE OTHER, THROUGH HIS SIMPLE YET VIVID NARAATIVE MR OLE KULET WANT TO IMPACT THE EFFECT OF EDUCATION IN HIS,,, FOR MASAI PEOPLE. UBETI HUU AAMBAO NII NI BACK COVER YA KITABU NILI KARIRISHA NA PROF DR AMANI FLEXON SHAO(MD) CURRENTLLY A HAVARD GRADUATE THIS WEEK MS( PUBLIC HEALTH) MWAKA 1993 SAME SECONDARY.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...