damien njitap
samuel et'oo
timu ya taifa ya cameroun inatarajiwa kutua dar saa kumi leo na ndege ya shirika la ndege la watani wa jadi ikiwa na nyota wake wote pamoja na hao juu pichani tayari kupambana na taifa stars kwenye mchezo wao wa mguu wa kwanza kuwania tiketi ya kucheza kombe la dunia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2008

    Ehee jamani kweli Taifa Star itawaweza hawa watu?ingekuwa mimi Taifa Star nisingeenda uwanjani,ningejifanya wanaumwa matumbo wote ya kuhara!!hawa watu motooo na kalumanzila

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2008

    duh mbona wamewahi kuja mapema, au ndo cash inaruhusu? haki ya nani patakuwa hapatoshi jmosi,mie yangu macho. Mungu ibariki starz

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2008

    USHAURI WA TIMU YETU YA TAIFA ISIBADIRISHWE NA KUWA KIKOSI CHA MIONDOKO YA KISASA YAANI BONGO FLAVA? NADHANI KATIKA FANI HIYO WATAFANYA VIZURI SANA KWANI WANAZO TALENTI AMA WATANZANIA WOTE TULIVYONAZO.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 10, 2008

    tumekwishaaa! mi navoijua taifa stars? ah.. ni kama naona matokeo!ila tu nitasali maana miujiza ipo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 10, 2008

    KAZI TUTAKAYOIFANYA NI KUPUNGUZA IDADI YA MAGOLI. SAMUEL ETO ANAKWENDA CHELSEA

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 10, 2008

    MASKINI TAIFA STARS.....KIPONDO ITAKACHOKULA MPAKA NAIONEA HURUMA..

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 10, 2008

    Hi Misupu,

    huyo hapo juu ni Geremi Njitap, sio damien kama unavyodanya watu wewe!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 10, 2008

    Michuzi,
    Pamoja na kushindwa mechi zote za awali (Mauritius, Cape Verde) bado hatupendi kufungwa. Sasa wadau niambieni kipi kinachowashinda TFF ktk kupanga namba za viti kwenye ticket? Uzalendo wa kweli tunao lakini TFF wanazidisha ufisadi kiasi wapenda soka tunakata tamaa, kiingilio kikubwa, timu ina ufadhili wa uhakika. Soka haitakua kwa mizengwe na ujanja ujanja. Lakini pamoja na yote tuishangilie timu yetu kwa moyo wote. Taifa Stars Oyee.

    ReplyDelete
  9. mfedeh mfede kunde a makanak makanaaaaaak roger miller l' ball ooooooohhhhhhhhhhhhh

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 10, 2008

    Hao simba wameanza kuzeeka,muda si mrefu wataanza kula majani.GO GO GO STARS!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 10, 2008

    Stars mjitahidi cc watanzania bado tuna imani na nyie wachezaji,makocha na uongozi wa TFF.Mpira wa Cameroon kila mtu anaufahamu MCHEZO unaweza kuwa mrahisi kuliko wa Cape verde.PLIIZ komaa na hawa jamaa.Kitendo cha kuwafunga tu Cameroon Dunia yote itawafahamu!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 10, 2008

    Hapo ndio mtajua nia haizidi uwezo.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 10, 2008

    Msii-write off Taifa Stars jamani,nani alitegemea wakati ule baada ya kupigwa 4 na senegal tungewakosa kosa kuwafunga kirumba? mpira unadunda asiyejua ndiyo anaweza kupiga kelele. lolote linaweza kutokea inshallah mungu atatusaidia. Mungu ibariki tanzania mungu ibariki Taifa stars. Msiyokuwa na uzalendo mlegee!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 10, 2008

    samule etoo is sooo sexxy..sexxy enough to lick..wow!..keep up the good work!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 10, 2008

    Maximo ataonesha kwa mara ya kwanza kabisa FORMATION MPYA YA KIMAPINDUZI pasi zita anzia golini kwa mpira wa kichwa kwa kichwa hadi goli lingine.Na jinsi ya kumbabatiza adui kwa cross ya tiktaka!Ingawa mpira utakuwa draw kwa sababu Cameroon hawakuja kumfunga mtu bali kuwaonyesheni tu staili mpya za kupasiana mpira kwa kutumia kanuni za Sir Isaac Newton!kama ni sifa wao wanazo tayari.Labda Taifa Stars watakacho takiwa kufanya siku hiyo ni kusingizia timu nzima imekumbwa na tumbo la kuharisha!Refa atawapa penati mbili za mshiko!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 11, 2008

    Taifa Stars oyee!!msiogope majina..Eto, Geremi ni majina tu na wamechoka baada ya msimu mrefu wa ligi na makombe ya ulaya!! ..chezeni mpira wenu na nina uhakika tutashinda!! Cha muhimu msiangalie list yao kujua nani atacheza hii mara nyingi inavunja imani na matumaini!!
    Kila na heri Taifa stars!!

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 11, 2008

    we anony unayesema eto' is good enough to lick heheh nadhani kwavile ana hela, but he is just looking like any hasan, yahaya, chacha ... tom dick and harry wa TZ

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...