Home
Unlabelled
cameroun kutua leo dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ehee jamani kweli Taifa Star itawaweza hawa watu?ingekuwa mimi Taifa Star nisingeenda uwanjani,ningejifanya wanaumwa matumbo wote ya kuhara!!hawa watu motooo na kalumanzila
ReplyDeleteduh mbona wamewahi kuja mapema, au ndo cash inaruhusu? haki ya nani patakuwa hapatoshi jmosi,mie yangu macho. Mungu ibariki starz
ReplyDeleteUSHAURI WA TIMU YETU YA TAIFA ISIBADIRISHWE NA KUWA KIKOSI CHA MIONDOKO YA KISASA YAANI BONGO FLAVA? NADHANI KATIKA FANI HIYO WATAFANYA VIZURI SANA KWANI WANAZO TALENTI AMA WATANZANIA WOTE TULIVYONAZO.
ReplyDeletetumekwishaaa! mi navoijua taifa stars? ah.. ni kama naona matokeo!ila tu nitasali maana miujiza ipo.
ReplyDeleteKAZI TUTAKAYOIFANYA NI KUPUNGUZA IDADI YA MAGOLI. SAMUEL ETO ANAKWENDA CHELSEA
ReplyDeleteMASKINI TAIFA STARS.....KIPONDO ITAKACHOKULA MPAKA NAIONEA HURUMA..
ReplyDeleteHi Misupu,
ReplyDeletehuyo hapo juu ni Geremi Njitap, sio damien kama unavyodanya watu wewe!
Michuzi,
ReplyDeletePamoja na kushindwa mechi zote za awali (Mauritius, Cape Verde) bado hatupendi kufungwa. Sasa wadau niambieni kipi kinachowashinda TFF ktk kupanga namba za viti kwenye ticket? Uzalendo wa kweli tunao lakini TFF wanazidisha ufisadi kiasi wapenda soka tunakata tamaa, kiingilio kikubwa, timu ina ufadhili wa uhakika. Soka haitakua kwa mizengwe na ujanja ujanja. Lakini pamoja na yote tuishangilie timu yetu kwa moyo wote. Taifa Stars Oyee.
mfedeh mfede kunde a makanak makanaaaaaak roger miller l' ball ooooooohhhhhhhhhhhhh
ReplyDeleteHao simba wameanza kuzeeka,muda si mrefu wataanza kula majani.GO GO GO STARS!
ReplyDeleteStars mjitahidi cc watanzania bado tuna imani na nyie wachezaji,makocha na uongozi wa TFF.Mpira wa Cameroon kila mtu anaufahamu MCHEZO unaweza kuwa mrahisi kuliko wa Cape verde.PLIIZ komaa na hawa jamaa.Kitendo cha kuwafunga tu Cameroon Dunia yote itawafahamu!
ReplyDeleteHapo ndio mtajua nia haizidi uwezo.
ReplyDeleteMsii-write off Taifa Stars jamani,nani alitegemea wakati ule baada ya kupigwa 4 na senegal tungewakosa kosa kuwafunga kirumba? mpira unadunda asiyejua ndiyo anaweza kupiga kelele. lolote linaweza kutokea inshallah mungu atatusaidia. Mungu ibariki tanzania mungu ibariki Taifa stars. Msiyokuwa na uzalendo mlegee!
ReplyDeletesamule etoo is sooo sexxy..sexxy enough to lick..wow!..keep up the good work!
ReplyDeleteMaximo ataonesha kwa mara ya kwanza kabisa FORMATION MPYA YA KIMAPINDUZI pasi zita anzia golini kwa mpira wa kichwa kwa kichwa hadi goli lingine.Na jinsi ya kumbabatiza adui kwa cross ya tiktaka!Ingawa mpira utakuwa draw kwa sababu Cameroon hawakuja kumfunga mtu bali kuwaonyesheni tu staili mpya za kupasiana mpira kwa kutumia kanuni za Sir Isaac Newton!kama ni sifa wao wanazo tayari.Labda Taifa Stars watakacho takiwa kufanya siku hiyo ni kusingizia timu nzima imekumbwa na tumbo la kuharisha!Refa atawapa penati mbili za mshiko!
ReplyDeleteTaifa Stars oyee!!msiogope majina..Eto, Geremi ni majina tu na wamechoka baada ya msimu mrefu wa ligi na makombe ya ulaya!! ..chezeni mpira wenu na nina uhakika tutashinda!! Cha muhimu msiangalie list yao kujua nani atacheza hii mara nyingi inavunja imani na matumaini!!
ReplyDeleteKila na heri Taifa stars!!
we anony unayesema eto' is good enough to lick heheh nadhani kwavile ana hela, but he is just looking like any hasan, yahaya, chacha ... tom dick and harry wa TZ
ReplyDelete