siku moja moja napiga dei waka kwa limo la iddi janguo. si unajua tena mambo ya nanihii...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2008

    Michuzi,
    Angalia kaka, Iddi asije sema ulikalia kiti cha gari lake na ukalipaka 'unga'.

    si unasikia kizaazaa mjengoni kwa waheshima wanavyotafutana? wamekosa hoja wanaanza kuagua. Hii ni dalili ya kwamba wengi wao wanatunguli kila waendapo. kama mtu huna imani za giza, kitendo cha mtu kwenda bungeni usiku kingechukuliwa kwa sura ya kiusalama zaidi kushinda ushirikina..
    JK kazi anayo, Wananchi tuendelee kusubiri maumivu zaidi. issue ya maisha bora ilikuwa ni jingle ya uchaguzi, haipo hata kidogo...

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2008

    MH.MKUU WA WILAYA YA TEGETA JE KUNAULAZIMA GANI KUELEZA HILO LIMO NI LA NANI MBONA MALIMO MENGINE AUTUELEZAGI WAMILIKI WAKE.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 24, 2008

    Ndugu yangu michuzi nataka kuja kuoa bongo hivyo basi naomba unitumie bei za hayo malimo kwa siku na magari mengine ya starehe pia nataka kujua kama unaweza book in advance.
    Nataka siku ya harusi yangu suka uwe wewe, plz send to email xlrush04@yahoo.com is important.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 25, 2008

    Hi mzee wa Tegeta na wadau wengine please nataka kujua bei ya hilo limo kwa siku na magari mengine ya usafiri kwenye shuhuli kama harusi au send off wanachaji kwa siku au kwa saa na ni ngapi?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 25, 2008

    kama lako vile,
    sweet
    Arusha

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 25, 2008

    Isije ikawa umemlipa jamaa ali upige picha kwenye hilo gari!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 25, 2008

    Kwangu mimi limo hilo ni sawa na nusu ya daladala tu au tuseme daladala fupi tu. Tena hiyo gari mbona ni modeli ya zamani? Au Iddi kasema ni mpya?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 25, 2008

    Tumesha istukia hiyo Konooooz!Hiyo picha itatumwa Kijijini Wajomba wakakutafutie Mchumba!'Unamwona huyu?Kijana wetu wetu huyu karudi tu hivi majuzi na PhD yake toka Marekani!Bwana jamaa ana Masenti huyu ni balaaa! Nini hivi Vijisenti vya kina Porosoooo! Huyu Baba ni balaaa,Obama kasoma naye darasa moja,halafu basi alikuwa akimpiga tuition Obama,je!'..Jamaaani hivi unasema kweli?.....tehe tehe....Hii gari kitu gani,jamaa ana Treni ndefu toka hapa hadi kuuuuleeeeee!Behewa Moja tu,mchezo!...aaai jamani.....

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 25, 2008

    Kwahiyo we mchangiaji wa hapo juu PhD ya Marekani ndo umeona boooomba! na huyo Obama ndo mtu maarufu sana kwako eeh, pole sana kwa ulimbukeni wako, Muache DC wa Tegeta atese kwa raha zake.
    VM
    Arusha

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 25, 2008

    Acha 'ujamaa' Michuzi nawewe changamka! Read between the lines, In short, mwambie Idd Janguo alipie hilo tangazo lake la Limo!!

    Mdau wa Kijitonyama

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...