Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2008

    tehe tehe tehee, tih tihi tihiii, vipanya hivyo vinasisimua mwili.

    ReplyDelete
  2. THE OPTION FOR THE BETER TANZANIA ENEGY POLICY REMAIN ON nuclear [ˈnjuːkliə] adjective
    using atomic energy a nuclear power station;NISHHATI HII IMEKUWAA NA MIGOGORO SANA DUNIANI KUTOKANA NA HOFU YA MAZARA YAKE ITAKAPOTUNIKA KAMA SILAHA ZA MAANGAMIZI. BAHATI TANZANIA NCHI YA AMANI HOFU KAMA HIYO NI NDOTO. INATAKIWA WAFANYAKAZI WALE AMINI KWAMBA HAWATA UZA BIDHAA HIYO KWENYE SOKO HARAMU.

    USAYANSI WAKE.

    MIAKA HIYO YA 19... MWANASAYANSI JERUMAN MWENYE ASILI YA ISRAELI ALIGUNGUA KANUNU HII KUHUSU NISHATI E= MC KIPEO CHA PILI(http://www.youtube.com/watch?v=ejlpfOvLtI4PILI). KATAKA KANUNI HIYO E NI ENERGY YAANI NGUVU, M NI TUNGAMO AU MASS NA C NI MWENDO KASI WA MWANGA .UNAWEZA KUKADIRIA JINSI MWANAGA UNAVYOSAFIRI UKIWASHA TAA AU UKIMULIKAMUIKA KURUNZI (TORCH). HAPO MWAGA AUSHIKIKI ILA UNAONEKANA . UKIWEKA MASS YAANI TUNGAMO AU AINA YA UZITO KAMA GRAM MOJA HIYO NGUVU YAKE SIYO YA KAWAIDA. SASA KATIKA SHERIA ZA NGUVU ZINASEMA NGUVU HUWA HAISHI ILA HUWA INABADILIKA KOTOKA AINA MOJA KWENDA NYINGNE, KWA MFANO WEWE UKIENDESHA GARI LAKO SPEED 80, UKITAKA KUSIMAMAM INABIDI ILE NGUVU IHAMIA KWENYE MSUGUANO YAANI BREAKS.. ENERGY NEVER BE DESTROYED NOT CREATED BUT CAN BE TRANSFORMED FROM ONE FORM TO ANOTHER. (http://library.thinkquest.org/2745/data/lawce1.htm).

    NUCLEAR REACTOR

    KINACHO FANYIKA KATIKA HICHI KINU KUAVITU VIWILI' 1) FUSION MKUSANYO WA NGUVU MBILI TOFAUTI KUONGEZA UKUBWA WA NGUVU.
    2)FISION MAGAWANYO WA NGUVU KUBWA ZAIDI KUTOA NGUVU KUBWA KAWAIDA.
    KATIKA FISION NGUVU INAYO JITOKEZA PALE INAKUTANA NA MAJI AMBAYO YANACHEMSHWA KWA JOTO KALI SANA, YALE MAJI YANATOA MVUKE HALAFU MVUKE UNAENDESHA INGINE YA KUZALISHA UMEME TURBAN.ZANZIBAR MSIHOFU UMEME UPO

    SO THIS IS HOW SIMPO IT IS

    http://www.google.com/search?hl=en&q=NUCLEAR+STATION&btnG=Search

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2008

    We Tumaini nani aliyekupa computer??

    Mbona unaongea kama mwehu?

    ReplyDelete
  4. MADAU USIHOFU MDAU WEWE SILIZA KWA BUSARA JARIBU KUCHUJA UWO WEHU UKISHINDWA TUTAKUSAIUDIA. THANKS FOR THE COMMENT

    ReplyDelete
  5. NI KWAMBA BILA KUFIKIRIA JUU YA KUTUNZA NISHATI NA KUWA NA NISHATI MBADALA TUTAENDELEA KUWA OMBAOMBA PAMOJA NA KWAMBA TUNA UTAJIRI MKUBWA WA MADINI.MAREKANI INAJITAHIDI KUONYESHA UBABE LAKINI INAKUMBANA NA WAARABU KWA SABABU YA PETRODOLLAR, NASI TUNATAKIWA KUTAFUTA NJIA YA KUWA NA JEURI KAMA HIYO. ELIAS MHEGERA; MHEGERA, mhegeraelias@yahoo.com, mhegera@gmail.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...