Leo majira ya saa tisa na nusu hivi hapa maeneo ya Regent Estate barabara ya Ali Hassan Mwinyi rodi karibu kabisa AAR health centre imetokea ajali hii.
Akisimulia tukio hilo dereva wa gari hiyo aina ya RAV4 anasema kuwa akiwa na boss wake mwenye asili ya Kiasia (muhindi) wakitokea maeneo Fulani mjini, boss wake alianza kumgombeza ni kwanini amemsaidia jamaa mwingine kufuta wind screen wakati akimsubiri huyo boss wake huko mjini.
Kwamba walipokuwa mjini boss alienda kwenye ofisi Fulani na kuchukua muda kurudi, sasa jamaa mwingine alikuwa amepaki gari hapo jirani wakati akitoka akagundua kuwa kunguru wamefanya kubwa kwenye kioo na kwa kuwa huyo dereva alikuwa akisafisha gari lake basi jamaa akamuomba amsaidie kufuta na chake.
Mara boss muhindi karudi na kumkuta dereva wake akiwa anasafisha hicho kioo cha jamaa mwingine ndo ugomvi ukaendelea hadi boss muhindi akaamua kumzaba kibao dereva na kwa bahati mbaya mbele kulikuwa na magari ya knight support ya kuzima moto mawili yakija na yakiwa speed saana, dereva akaona nyota nyota kwa kibao na akahamaki kasharusha gari kwenye mtaro na kwa bahati yeye hajaumia sana ila boss muhindi kaumia na amekimbizwa muhimbili!!

HABARI NDO HIYO KAKA!!!!!
Mdau LK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 40 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2008

    Jamani kweli munngu ni mkubhwaa nae kampiga huyo mhindi kibao cha nguvu...yaani jamani wahindi wanapenda kunyanyasa waafrica..kwa kweli mimi siwapendi hawa watu sana sijui wanafanya nini nchini kwetu!!yaani ingekuwa mimi ningepaki gari lake hapo na kumuacha..

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2008

    Mke wangu unapaswa kusoma hii habari. Kwa nini huwa unanitukana nikiwa na drive? Kuna wakati huwa najisikia nilitupe mtaroni. Habari ndio hiyo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2008

    Nafikiri kwa huyo muhindi pamoja na hata watu wengine hasa mabosi serikalini na wale wa mjengoni wenye Tabia ya kugombeza madereva watakuwa wamepata somo kuwa sekunde moja ukiwa barabarani inaweza kutoa uhai wako, hivyo tuache madereva wafanye kazi zao kwa uangalia na sio kuwanyanyasa ni kama vile bosi wa kituo anapompiga polisi mwenye SMG mbele ya mkewe au hata watu wengine jamaa anaweza kupoteza utulivu na kuamua kuifyatua. Haya tumuombee bosi apone haraka na jamaa apate Boss mwingine. LESSON

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 18, 2008

    Mume wangu umezidi na wewe, yaani ukiona vidosho barabarani huishi kukata shingo, halafu speed yako mjini 80 kwenye hizi barabara zetu utadhani unakwenda Mwanza! au huwa unakimbilia wapi, kama unataka kuwahi si ungeondoka toka jana yake! hasa hilo la kukodelea macho masister do ndio linanifanya nikutukane kila siku. Una shida gani, kama uzuri mie mzuri mara 1000 ya hao unaowakodoleaga, nini unakosa, hata tigo nakupatia wacha voda na celtel, hatasiku moja sijawahi kukupatia TTCL landline. Uache vituko mpenzi wangu tutakufa bure!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 18, 2008

    nashangaa bado mnawanyenyekea huko nyumbani maskini wakubwa na wabaguzi hawa kwao wako 1.4 billioni hawana pa kukaa wanaua watoto wa kike hapa UK kuna couple wa b'hamn wameacha twin hospital kisa ni wa kike. Hawana maana hawa ingia site zao uone wanavyowana kwa wivu wa ndoa nyie bado mnawakumbatia hao akina offlicence wana tabia mbaya mbaya mbaya sana
    natoa hoja

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 18, 2008

    huyo muhindi ni mkoloni na anamnyanyasa huyo dereva.sio mtoto mdogo ni mtu mzima,so why oh why would he slap him!?answer me

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 18, 2008

    Malipo ni hapa hapa duniani, hakuna cha siku ya mwisho wa nini.

    ReplyDelete
  8. Wanadamu wengine bana,
    Hili Li-Mhindi lingededi wanzake wangetuheshimu.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 18, 2008

    bahati yao Iddi Amini hakufanikiwa kuchukua Tanzania, wangekiona cha moto wahindi hao.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 18, 2008

    We na wewe mkeo anakutukana ukiwa una-drive?! Mnase kibao na kumshusha chini maeneo kama Tazara au Manzese darajani kama uko Dar.
    Watu wengine huwa wana nidhani ya woga sana kwa wake zao mpaka wanatia huruma mno! Mkeo anakufokea na kukupangia ratiba! Wapi mmeona hiyo hata kwenye vitabu vya dini?!!? Natamanigi niwazabie vibao wake zao!!. Inaniuma sana hiyo.

    Wangu hathubutu hata chembe! Ajaribu aone kama sijajitwisha house na kujivinjari naye mitaa ya beach! Au kujipangia safari mwezi mzima.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 18, 2008

    Duh! Mkeo anakut ukana! Labda una kasoro na ana-capitalise kwenye hiyo weakness. Wakishagundua hicho kitu, wanawake si watu tena! Watanyanyasa sana! Ni raha sana kwa upande wao wanapo-take control ya mwanamme!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 18, 2008

    wewe anon 7:21 watch your mouth before it betrays you..if it wasnt for a woman,you wouldnt be there typing that shht you are writing now

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 18, 2008

    angemnywesha na hayo maji kama ingewezekana.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 18, 2008

    Huyo Mhindi amevuna alichopanda, malipo hapahapa duniani.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 18, 2008

    Ubaguzi mbaya jamani, acheni kuwanyooshea vidole wahindi,

    Hili swala la madereva kunyanyaswa ahlifanywi tuu na wahindi hata na watu kibao, tatizo ndo mhindi ndo imekuwa nongwa, kama mkanza kusema kila mtu arudi kwao, tuone kama wabantu wote tutaweza kuenea nigeria, wote tu wahamiaji kwenye hii nchi acheni chuki.
    Madereva kibao wanalalamika wananyanyaswa si na wahindi tuu sasa iweje yeye tuu ndo iwe nongwa

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 18, 2008

    Perfect dereva, ila umekosea kidogo, we ungeibamiza hilo gari na hayo magari ya Knight support upande alokuwa amekaa huyo muhindi ili afie mbali...!
    Frankly talking, nawachukia wahindi kuliko UKIMWI!

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 18, 2008

    Mie nampongeza sana huyo dereva ka kuiangusha hiyo gari. Na ningemshauri huyu dereva kwamba siku nyingine huyo mdosi akimfanyia huo unyama wa kumchapa kibao, yeye (dereva mbantu) avurumishe gari na kuigongesha kwnye mti au lori na baada ya hiyo ajali yeye ashuke na kuanza kumtwanga makonde huyo mdosi mpaka atoe kamasi....wahindi wa@#$%@(*nzi sana hawa.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 18, 2008

    Naona vijana wanalitoa kwa mnyororo wanaouvuta kwa mkono (crane mtu), habri ndio hiyo

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 18, 2008

    we anon wa 7.02 TTCL landline una maana gani?

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 18, 2008

    yani hao waindi wanavyojisikiaga,wakati na wao weusi tu,kama sisi.alafu masikini kupindukia huko kwao.warudi kwao wakafe na njaa,wanajionaga wao bora kuliko wenzao mbona wako kwetu?rudini kwenu kama hamjafa.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 18, 2008

    Acheni kuongea sana juu ya mwanamke, kuna wanawake wa aina nyingi, mwengine hawatukani na mdomo mmoja labda wanatukana na midomo mitatu mpaka saba mtu akifikishwa huko, hata akitukanwa anaona kama anaambiwa ''mambo.sasa yule mwanamke anaetukana na kamdomo kamoja akija ingiza wenzie kutukana vibao au talaka inamuhusu. kwa hiyo jamaa ndio ajuae mkewe anamtukana na midomo mingapi? mpaka anashindwa kujibu na kuchukua action, tusimlaum. MZEE MPEKU

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 18, 2008

    Hii sio baraza ya mke na mume kubishana na mambo yao ya kibinafisi.
    Ni kweli sio wahindi tu wanaowanyayasa wafanyakazi wao.
    Huyu dereva anahitaji wakili - ampe somo la pili huyu boss wake, hii ni assault na hakuna sheria yeyote inayompa muajiri ampige mkazi wake.
    Huyu muhindi kama hakuja hapa Bongo pengine angekuwa anaendesha baskeli au punda kule India.
    Hayo yalikuwa wakati wa utumwa,
    Need to show respect.
    ATL-USA

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 18, 2008

    Cha kufanya ni kwenda huko Muhimbili na kumzaba mabao huyo choli choli hapo hapo kitandani alipolazwa.

    Allaaaaa!!

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 18, 2008

    Watanzania tusome...haya manyanyaso yaishe kwakweli...Jamaa anao uwezo wa kumchapa kibao boss bt tatizo ukifukuzwa kazi kupata nyingine ni balaa, elimu yenyewe ndio hivyo mwenzangu na mie.

    Umaskini nao unachangia, Unakuta degree kibao zipo mtaani zinatafuta kazi hlf wewe leo from no where upigane na boss huku familia inakuangalia?

    Sana sana mimi nampa pole zake tu huyo jamaa, but saa ingine inabidi kusimama imara. Bora ufe maskini kuliko kunyanyaswa.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 18, 2008

    DOO jamaaa yangu nakuombea dua mungu akunusuru hili na jingine, siku nyingine mponjoro yeyote akikukata kibao mrudishie vitatu na mungu atakupa kazi nyingine hajakuumba yeye, Liziki kwa mungu.

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 18, 2008

    Kwa kweli Mzee Mpeku nakukubali mzee wangu, kweli wewe ni mpekuzi wa mambo, mwanamke akikutukana na midomo mingi unakuwa huna lakuongea, anakuwa ana kuonea sana ila watu wanakuwa hajui wanakuona zuzu tu lakini ukweli unaujua mwenyewe, isipokuwa jitahidi kuongea kwa uhai wako ndungu yangu, utapoteza maisha na hiyo mdomo mingi ikafaidiwa na wenzio.

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 18, 2008

    hiyo midomo ina maana gani mzee mpeku

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 18, 2008

    Nitarudi bongo halafu nitatafuta kazi kwa muhindi na ndipo nitakapo mfundisha adabu muhindi mmoja tu.(najidai nini bana vee)

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 19, 2008

    jamini ee cha acheni mambo ya mke na mme. huyo jamaa anahitaji ushauri wa kumfikisha mwajili wake mahakamani kwa shambulio, unyanyasaji wa mwajiliwa, kuhatarisha maisha na kusababisha ajali. hapo hatoki. akiruka moja ana nyingine. wataacha unyanyasaji hao.

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 19, 2008

    I'm not Indian but nafahamu kuhusu jamaa hawa kunyenyekeana ni asili yao.Mtu mwenye status ya juu katika jamii za hawa wahindi hupenda sana kunyenyekewa,hata kama wewe ni si muhindi ila ni mshirika wa bosi basi mfanyakazi wa chini wa kihindi anaweza kukunyenyekea hadi ukajisikia vibaya.
    Japo kiasili wahindi hupenda sana kuishi kwa matabaka na kukumbatia ubaguzi lakini pia tofauti kubwa ya kitamaduni kati yetu na wao ndio hasa inayofanya tuwaone kama ni wanyanyasaji wa kutupwa.
    Watu kutoka Asia sana hupendelea kutukuzwa sana hata Chinese pia wanatabia kama hizi ndio asili yao

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 19, 2008

    Serves the bloody Indian right. Sijui huwa wakoje tu hawa... nchi yetu, lakini it is true, Wabongo tuache ujanja wa kukaa vijiweni na kutoroka shule kwenda baharini kuogelea tupande vidato jamani...

    Lakini hilo moja, la pili hivyo vidato tutapanda vipi walimu wenyewe ndio hao wa Vodafasta? walioko ughaibuni badala ya kuanzisha japo mfuko wa kusaidia hizi shule ambazo sio academia, madarasa matupu, ambayo yana mwalimu mkuu siku mwalimu akienda kudai mshahara kiranja mkuu anashika wadhifa... jamani tutaacha kuajiriwa na wahindi

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 19, 2008

    NINAOMBA KUJUA DARASA ALILOISHIA HUYU ALIYEANDIKA HII HABARI, PIA NI VIZURI NIKIJUA UTAIFA WAKE KWANI KISWAHILI CHAKE NI KIGUMU.

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 19, 2008

    kwa kweli unyanyasaji mbaya sana ona sasa ilivyo mcost mhindi, atakuwa anajuta sana sasa.
    Ms Bennett

    ReplyDelete
  34. AnonymousJune 19, 2008

    Kwanini mnalinganisha V2 viwili tofauti, dereva na mhindi?Ni watanzania wawili,dereva na mkurungezi wake.MNATAKA KUANZA KULA NY*MA YA MTU?

    ReplyDelete
  35. AnonymousJune 19, 2008

    Waungwana woote mmecomets kwa kumpa hongera huyu jamaa alichokifanya lakini hamjampa ushauri wa nini cha kufanya once atakapokuwa mahakamani kutokana na ajali hiyo pia mmesahau kuwa ajila ndo imeshapotea hapo kwa huyo dereva sasa sijui atakuja kuchukua pesa kwenu nyie mnaosifia hicho kitendo au mnashabikia tu pasipo kuangalia madhara yake??
    Kuwachukia wahindi haitasaidia kitu waungwana wanaboa lakini kama kweli mnahasira na hawa watu onyesheni vitendo basi sio kushangilia wakati anapopata ajali.

    ReplyDelete
  36. AnonymousJune 19, 2008

    Hivi Jamani, haya Mambo ya unyanyasaji wa KIKOLONI bado yapo? Na hao wabongo mbona huwa hawajitokezi kulalamika, wakati sikuhizi media kibao! Watu wakiwa wanatendewa mambo kama hayo wasikae kimya, wajitokeze kwenye Media, au waende vituo vya sheria vinavyotoa msaada wa kisheria kama Tanganyika Law Society, na kadha wa kadha. Yaani huyo Muhindi alivyonikeraa, wee acha tu, namuombea kwa Mola A-REST IN PEACE!!!!

    ReplyDelete
  37. AnonymousJune 19, 2008

    Hiyo ndiyo inaitwa PRECISION GUIDED ACCIDENT.
    Ajali inaweza kuwa ni kweli no doubt lakini hiyo story yake ukiisoma between the lines kidogo kuna kautatanishi fulani.Simtetei Mdosi au mtu yoyote yule anae mdhalilisha binadamu mwenzie eti kwa kuwa anamfanyia kazi.Kama hii story ni kweli basi huo Mdosi kachacha ile mbaya.Au Aga Khan ilikuwa imejaa wagonjwa.

    ReplyDelete
  38. AnonymousJune 19, 2008

    pamoja na kulipeleka gari mtaroni angempa kwanza mangumi ya nguvu pumbavu sana huyo kanjibahi

    ReplyDelete
  39. AnonymousJune 19, 2008

    Hii habari ni ya kweli tupu na mimi nilikuwa ni mmoja kati ya walioishuhudia na kumsikiliza dereva akielezea. tulichosema tu kuwa Mungu aliamua kumlipa huyo muhindi kwa ukatili wake alioufanya, kwani huyo ni binadamu pia ambaye anastahili kuheshimiwa na pengine ana mke na watoto. hii ni mara ya pili kushuhudia unyama wa hawa wahindi, kuna siku moja hapo town mrembo kapaki gari yake then wakaja watu wakambana akawa anashindwa kutoka kwani nafasi aliyoachiwa ilihitaji mtaalamu zaidi. pembeni kulikuwa na dereva wa wahindi wakisubiri mabosi wake wakitaka kutoka awaendeshe i.e hakukuwa na muda maalum, akajitolea kumsaidia mdada, na punde wakatoka mama na bintiye wa kihindi wakamuulizia dereva wao na walipoangalia jirani wakamuona akitoa gari; hayo matusi yake yaani sisi wote tuliokuwa hapo tulitamani kuziba masikio na wachache walijitahidi kumtetea lakini wengi tuliwaza tukiyaingilia sana itakuwa kama tunamponza jamaa apoteze ajira yake na pengine ana familia inayomtegemea. watu walipoingilia kati wahindi wakanywea na jamaa akakimbilia gari lake na kuomba msamaha huku akiinama nasi tukajua yameisha, walipoingia ndani ya gari libeneke likaanza upya na hatujua yaliishaje huko mbele. roho iliniuma sana, kwani ni kiasi gani wanchowalipa hao ndugu zetu mpaka wawanyanyase hivyo?

    ReplyDelete
  40. Haya mambo bongo ni mambo ya kawaida mdosi kampiga mtu vibao au mfanyakazi wanyumba kabigwa na bosi wake mdosi.Hakuna sheria hitakayo mlinda huyo mzalendo especial mdosi hana kitu kidogo ,hatakwenda wapi hila hinabidi hakubaliaena na matusi na vipigo vya kila siku.Huku hujaribu hata kumpiga muhizi hutakwenda jela na na huyo mwizi hata kusuu [hitabidi humlipe au mali yako hitahuzwa na jamaa hatalipwa.Kwahiyo bongo kama huna kisenti poa hutamnyanyasa mtu yeyote hutafanya lolote hunalotaka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...