helikopta ya jeshi iliyoanguka masaa machache yaliyopita ikiwa uwanja wa ndege wa arusha jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Inasemekana kwamba Helkopta hii imeanguka eneo la Oljoro

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 09, 2008

    KUSANYENI IMFO HARAKA SANA HUO MKUTANO ULIKUWA MKUBWA NA WA AINA YAKE PAMOJA NA VIGOGO WENGI, NA AJALI IMETOKEA WAKATI WATU WANAONDOKA MKUTANONI,INAWEZA IKAWA NI AJALI TU NA AJALI HAINA KINGA.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 09, 2008

    Wee bennet unauwakika maana wengine OLJORO wazazi ndio wamewekeza sasa tujue.michuzi chapu chapu please anyway ngoja nitwange homeee.lakini wewe bennet usijekuta unafanya utani wako ohhh


    masikini na mali yake

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 10, 2008

    Ina maana watu wamekufa na helikopta haikuharibika? au nimeiangalia vibaya au imeanguka vipi?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 10, 2008

    Inasikitisha sana I hope hawakuwa wadandiaji wa vitu vya bure maana hiyo itakuwa noma itabidi uchunguzi uwe wa kutosha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...