Msanii Lumole Matovolwa anayeigiza kama Iddi Amini Dadah wa Uganda akiwa na wenzake nje ya Idara ya Habari Maelezo walipozungumzia uzinduzi wa mchezo wa kuigizo waliouipa jina la Juliana unaotarajiwa kuzinduliwa Juni 26 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee hall

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2008

    du kumamaye wallahi jamaa photocopy ya iddi amin kweli kweli seme tu kidogo anasura ya kuvutia kuliko nduli dada.Big up my man

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...