Balozi Mpya wa Tanzania nchini Urusi Jaka Mwambi akimuaga Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar leo ambapo alifanya nae mazungumzo mafupi kabla ya kwenda kituo chake cha kazi jijini Moscow

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2008

    Ninapomzimikia JK huwa hawamwagi washikaji zake. Jaka Mwambi ni mtu wake sana JK tangu akiwa mkuu wa wilaya ya bagamoyo na nasikia walikuwa kambi moja huko enzi zao za uafande pamoja na marehem dito, alimtia CCM naona wadau wakamuengua lkn shavu lingine limekuja....tetete JK ndo mchizi wangu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2008

    JK huu ndio mtindo bomba wa suti unaofaa kutoka nao katika kila tukio rasmi kudhihirisha kuwa hata katika mavazi ya kisiasa/kiuchumi watanzania au waafrika tunaweza kuwa na utanbulisho wetu au lugha yetu ya mavazi. sio lazima kushinikizwa na nguvu za utamaduni wa kitandawazi zinazotawaliwa na watu nchi za magharibi kuvaa suti ya mtindo wa magharibi. huwezi kuamini kwamba hata baadhi ya wabepari wa magharibi wanaweza kuanza kuiga mtindo huu, nasi hapo tutakuwa tumechangia katika utamaduni wa kiutandawazi badala ya kupokea tu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 24, 2008

    Jaka Mwambi alikuwa Katibu wa Tanu Youth League Tanga school, wakati Kikwete akiwa ni Mwenyekiti. Makamu wa Mwenyekiti ameteuliwa balozi hivi karibuni.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 24, 2008

    JK ana POZI lake anaposhikana mkono na watu, nimeangalia picha zake nyingi ziko hivyo. Ni kama vile anakupa ka-distance na kuku size/tishia maisha at the same time.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 24, 2008

    Sasa Patrick Chokala anakwenda wapi!!? au ndio amestaafu komoja!!! Mshkaji alikuwa poa sana yule, sijui Jaka Mwambi itakuwa vipi!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 24, 2008

    jk tunaomba wale mabalozi ambao wameshamaliza muda wao warudi nyumbani na kuwapa nafasi watu wengine haya mambo ya contract yaishe sasa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 25, 2008

    JAKA MWAMBI KAMA ANAENDA URUSI AJUE KABISA KULE KUNA WATOTO-WA TZ KIBAO WANASOMA MWAKA JANA WALIKUWA NA MATATAIZO KIBAO SASA SIO AENDE KULE AKANYWE VODKA TU WALE WATOTO WA TAIFA LA 2 MORO INABIDI WASOVIWE MATATIZO YAO KAMA YALIKUWA BADO HAYAJASOVIWA

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 25, 2008

    mmmh!!! toka TANU???aya uo ushkaji basi uwe na manufaa sio waweka mtu goigoi tuu au EPAZ,,,
    ivi hawa mabalozi kazi yao hasa ni nini???si pia wapromote Tz yetu??make wasikia tu mtu alikua balozi mahali akiwa anaamishwa au kamaliza muda wake,,,hatuwasikii kbs wala wengi hatuwajui

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 25, 2008

    Si unakumbuka enzi zile tuko pamoja TANU Youth League Tanga School na kisha wapi kule? Sasa nakupa kazi moja,ukifika tu Urusi hebu angalia angalia kama Jamaa watakubali kutusaidia tena UKOMUNISTI urejeshwe hapa nchini! Maana imekuwa too much,kila mtu anajifanya ana madaraka hapa nchini!Wakubwa tuko wangapi,ebo!Aisee usisahau hako ka assignment!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 26, 2008

    kwa kweli mi sina mshkaji huko white house, sasa nitatoka vipi?, tuwe waungwana jamani uswahiba sasa basi wapo pia wenye sifa za kuwa mabalozi,na wakurugenzi ila hawaonekani kwa kutofahamika! jamani ama kweli kila shetani na mbuyu wake. hii ndo bongo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...