
KUHUSU USALAMA WA CHAKULA DUNIANI NA CHANGAMOTO ZA MABADILIKO YA TABIA, NCHI NA MATUMIZI YA NISHATI INAYOTOKANA NA MAZAO YA KILIMO UTAKAOFANYIKA MJINI ROME KUANZIA JUNI 3 HADI JUNI5 AKIMUAKILISHA JK
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
AAAHHHH,HII INABOA,TENA KINOMI'RAIS ANAMUAKILISHA RAIS!KULIKONIIIIII RAIS WA ZANZIBAR,MBONA MNATUCHANGANJA NYIE MAFISADI.WADAU NISAIDIENI HII KWELI IMETULIA HII? MISUPU TAFAZALI USINIBANIE. MDAU -BAAJUN,SEOUL-SOUTH KOREA
ReplyDeleteAsante michuzi kwa updates.Hiyo ndege kwenye background ndiyo ile mpya tuliyonunua majuzi au ile foker ya zamani,manake nasikia ile jet ya rais ni mbovu.MICHUZI UMEKUWA NA KAWAIDA YA KUTOJIBU MASWALI MADOGO MADOGO YA WANABLOG WAKO KWA MUDA MREFU SASA. KUJIBU NI 'SIMPO' UNA-POST COMMENT TU BASI.
ReplyDeletekarume usisahau kufika kwenye ofisi zetu za ubalozi wa Tanzania kupekua mafaili.Profesa Mahalu aliacha kesi.Nakutakia kazi njema msalimie Papa Beny XVI
ReplyDeleteInanoga kweli yaani hapo watulizana mama anaendeleaje kule home na ukimaliza urais bro utaniachia au! maanake hapo ni mtu na mdogo wake wamekutana. Sawa na wakt mhe.Mkapa alipowateua mtu na mdogo wake kweney ofisi moja. Mdogo alipewa uwaziri na mdogo mtu ukatibu mkuu. Nadhani salamu zao pale ofisini walikuw ain " namnaaan avae, utiitheeee. yule mtu ameshaacha kusukuma lile shamaba ua ipi na umeshampata yule jogooo au tukauz ngombe mwingin tenaaa. teheteeteeeh
ReplyDeleteebwana bbrother misupu naomba kuuliza hako kandege si ndicho kale alichonunua bwana mramba mpaka watanzania wakala nyasi au nimekosea wadau,halafu nilisikia ni kandege ka rais wa tanznaia sasa imekuwaje kamemchukua huyo bwana mdogo karume tafadhari wadau naomba mnisaidie
ReplyDeletebaba umeondoka nchi (znz/ unguja) haina umeme, sina hakika kama znz ina akiba ya chakula, nakushauri jenga hoja za mkakati endelevu wa znz ktk kupambana na majanga, ili yakitokea matatizo raia wako wasisumbeke sana. Mkereketwa
ReplyDeletebaroz wa italy ni ali karume,mmh kichem mbona naona undugu tu
ReplyDeleteali karume na abeid karume?
ReplyDeletekawapa ndugu zake kazi siyo..ndio ufisadi wenyewe huu,mbona mama mongela kafukuzwa kazi asap!
kweli hiii nchi ni ya sulitani bado watu wanaachia nafasi tuu sasa 2010 karume nae anachukua inchi kwa nguvu cuf mushide musishinde mutajua wenyewe huko tunapokwenda ni pambaya jaman kaka anapokelewa na mdogo wako na wake zake so ni safari ya kifamilia zaidi
ReplyDeletetoyota
NCHARIMIE CHIBIRITI
ReplyDeletendio undugu huo, mbona mkapa aliwapa wakwe ubalozi kabla hajastaafu, ni kama wanahamishwa kikwete nae ni ivyo ivyo, kuhamisha na kupeleka watu hapa na pale, wengine wa hivi karibuni hawafai, kikwete angejua tu, sio kuhamisha hamisha watu, bila kufanya uchunguzi.
ReplyDeletekumbe haka ka ndege kanaweza fika italy?? kwa nini atc wasi kakodi kawe kanawapeleka wapiga box london, walau watakuwa wanapata pesa ya kununua matairi ya ndege zao za safari za ndani!
ReplyDeleteni maoni tu!
PICHA HII INAONESHA JINSI WANACCM WANAVYOIVURUGA NCHI KWA KUTULETEA UTAWALA WA KISULUTANI AMBAPO MADARAKA YANBAKI NDANI YA KOO NA MITAA MIJINI INAPEWA MAJINA YA HIZO KOO NA KUONDO MAJINA MUHIMU.
ReplyDelete