Home
Unlabelled
kasesela na mutombo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mutombo acha uongo kutingwa na ligi gani wakati timu yenu houston Rockects ilishatolewa kwenye playoffs muda mrefu, mtu mzima sasa wewe acha uongo. U need to hang up your boots anyway.
ReplyDeleteDallasFinesty
'KUISAIDIA TANZANIA'???
ReplyDeleteKivipi?
TUSITUKANANE HAPA! CHARITY BEGINS AT HOME! AMESAIDIA NINI KWAO CONGO KINSHASA??
Au ndiyo Ndugu yangu Mtanzania alianzisha....'Can you help Tanzania please?
NAOMBA MUWE MNAANDIKA MAELEZO TIMILIFU.
MWENYE HASIRA
UGHAIBUNI
Duhh! jamaa tolu kweli, namfahamu Kasesela nae si haba by standards mrefu haswa.........!
ReplyDeleteDah
Vizuri ndugu Dikembe kwa kuto nia ya kusaidia Tz, lakini hiyo timu yake ya Houston Rockets pamoja na Yao Ming wa China ilishindwa mapema kwenye play-offs ya mwaka huu na wala hakuwepo kwenye mechi zozote zaidi ya mwezi na kitu. Sababu hiyo haikuwa ya kweli. Tunajua alijenga hospitali kubwa huko Zaire kwa kumbukumbu ya Mama yake na vile yeye na wachezaji wengine wa NBA walikwenda South Africa kuwasaidia watoto. Wanastahili sifa kuliko wakina Shaq walio na matumizi ya karibu dola laki 9 kwa mwezi na magari 10 !!!! Kobe nae akamnunulia mkewe pete ya dola milioni 4 baada kuomba msamaha baada ya kufumaniwa na akiwa na mwanamke mweupe.
ReplyDeleteMdau- Atlanta-USA
we anon Tarehe June 12, 2008 2:11 PM JINGA KABISA!!
ReplyDeletehivi we unaangalia nba hata kidogo?? au ndo pumba zimejaa kichwani ujuaji mwingi unakuja kupiga domo humu na kuleta ubishi usio na maana?
eti "CHARITY BEGINS AT HOME"? YES IT IS TRUE LAKINI UNGEKUWA UNAANGALIA BASKETBALL HATA KIDOGO UNGEJUA MCHIZI KAFANYA NINI KWAO PUMBAFU KABISA WE
kwa vile we ni mvivu kutafuta habari halafu kichwani hamna kitu ngoja tukusaidie, bonyeza hapa ujue kafanya nini kwao, ulivyo mbishi utataka kujua katumia pesa kiasi gani bonyeza hapa kujua gharama
NEXT TIME DO YOUR HOMEWORK BEFORE YOU GO PUBLIC OKAY! MIND YOU, SOMETIME BEING QUITE IS A GOOD RESPONSE!!
kama hujui uliza au kaa kimya, we are responsible for what we say!!
Mdau wa June 12, 2008 4:46 PM hatutibu udhaifu kwa namna ulivyofanya wewe,hayo ni majivuno kitu ambacho hatukikubali maana ni sawa na udhalilishaji.Huyu mdau wa Tarehe June 12, 2008 2:11 PM ana hoja ya msingi tu ila kaificha katika kuiwakilisha.Pia kumbuka kwamba bila yeye kuibuka na comment yake usinge toa link zako hapo.Kwa hiyo watu wameweza kuona ni kipi alichofanya Mutombo huko kwao lakini kumbuka pia "economists says there is no free lunch in this world"
ReplyDeleteKwa mujibu wa wao ni kwamba hakuna mtoaji asiyepokea,na ndipo palipokua na hoja yake hapo
mdau-Arusha
Bibo kwa ubishi tuu, haya tunakubali lakini tolu yuko likizo kipindi hiki. Anyway partner karibu NYC
ReplyDelete6:30pm na wewe pumba tu...ati hakuna mtoaji asiyepokea...si heri hata kama anapokea lakini ametengeneza kitu cha kusaidia watu huko Africa????...
ReplyDeleteHao wengine wanaospend mahela kwenye wake zao na maisha yao peke yao ni yupi bora...???? Please it is only my opinion we need to learn to give credit where it's due...
Ndio hayo ya wabongo wameshaanza Obama akiwa raisi basi visa zitamwagwa njenje za kuingia USA...Kesho mkiona visa hazipo mtaanza kumsema...
acheni kutegemea kuwa wapenzi wa kutembeza mabakuli tu....Ni kule mdenyi mtoto wa mjomba akishatajirika wengine wote basi na shule wameacha...acheni hizo tujifunze kujitegemea
amesaidia kutoa na ametoa alichonacho kama mlitaka Congo nzima itajirike kwa yeye tu kuwa kwenye NBA mmelost...fanyeni kazi