kelly rowland wa destiny childs akipeana mikono na gwiji la hip hop nchini fid Q huku mwanamuziki ambaye ni mshindi wa kwanza wa bongo star search jumanne akiangalia. wasanii hawa walikutana leo shule ya sekondari ya biafra ambako kelly ametembelea. pia fid q na jumanne watakuwa kwenye tua ya mikoa kadhaa ya bara katika kuhamisisha vijana namna ya kupambana na ukimwi. wataanzia morogoro wikiendi hii chini ya tayopa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2008

    Daah..
    I dont wanna be rude lakini huyu Jumanne Idd hana poz la mwanamuziki kabisa, nadhani anahitaji mtu wa kumshauri nguo gani avae na pozi za kupigia picha....Marlaw nae alikuwa kama mshkaji lakini siku hizi ukikutana nae kabadilika anaonekana brazamen.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2008

    Tunataka Habari za UCHAWI wa bungeni aua unawaogopa MITHUPU??
    Manake tumesoma pahala Chenge kakamatwa? au hutaki kuwa shahid ??

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2008

    michuzi nje ya mada, angalia picha za bongo hapa, kuzuri sana

    http://abcnews.go.com/Travel/popup?id=5055436

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2008

    Muthupu afadhali leo umemuweka huyo kijana wa Mwanza fid q nakuzimia sana miziki yako. Lakini una tatizo moja umchafu sana na pia unavaa kiajabu kama muhuni. tafadhali badilisha uvaaji wako hata kwenye shooting ya wimbo wa watapata zero umevaa vibaya na ule ulioimba na zoro pia umevaa vibaya sana. Kuna siku nilikuona moven pick jioni kwenye hafla yaani niliona aibu. Ila unapotoa verse zako unanikamata sana. Sasa hio ni boxer au pensi jaribu kuwa msafi na vaa nguo kutokana na mazingira.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...