mdau baraka karashani katuletea hii na kusema kinga bora kuliko dawa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2008

    mdau baraka anasema hiyo ndiyo kinga???

    = JEHANAMU + MAGONJWA

    msiwapoteze watu. wewe mdau baraka napenda ujitokeze nikuulize maswali kadha wa kadha

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2008

    Kumbuka kwamba huo mpira hauzuii magonjwa mengine ya ngono ambayo hayana dawa kama vile Herpes... Abstinence is the answer!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2008

    kwahiyo we mdau unatuambia tufanye sana ila tutumie hiyo nanihiii makubwaaaaaaa ila unatudanganya haizui wala nini kinga nikua na mpenzi mmoja mwaminifu basiiiii

    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 18, 2008

    HESHIMA KWA WOTE;
    Jamani mie hapo nimemuelewe jamaa kwamba anataka kuzuia mambo ya virusi kupitia kwenye internet connection kama sikosei,sio kinga kwa ajili ya ukimwi na magonjwa mengine bali virusi vya kwenye computer vinavyopitia njia ya internet mpooooooo? ni hayo tuu na habari ndio hiyo........

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 18, 2008

    Ikipasuka?....Kanyaga twende?Kwa ujumla hii kitu inasaidia tuseme ukweli,tusiwe wanafiki kwenye blog.
    Asante bwana Karsahani kwa kutukumbusha

    ReplyDelete
  6. Hiyo ni condom ya kike au ya kiume???
    Nataka kujua ni cable dume au ni laptop ndo dume maana naona hiyo patch cable ndo inayotaka kuvaa condom???

    Tuache uzinzi ndo dawa!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. MDAU NILIKUWA SIJAANGALIA VIZURI KUMBE HAUTAPATA NETWORK KAMA ILIVYOUMBWA NA MNYAZI MUNGU. NAKUPA TANO MDAU MBARAKA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...