Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
niwakina nani hao ambao wako kwenye kikao cha bajeti ambao ni wajinga? kipanya take care unakokwenda huko si sawa unapotea.unawatukana wawakilishi wetu?
ReplyDeleteKATATIZO KALIKUWA KADOGO TUU, KUWAPUZA WANA WA NCHI NA KUMKUMBATIA MKOLONI MAMBO LEO. KAMA NBC. SASA HIVI TUNAPUMUA MAANA HUYU TULIYONAYE ANATUJALI, TUNASIKILIZWA.ULIKUWA REACTIVE NA SIO PROACTIVE.TOM SEBASTIAN MZEE WA HARD TALK AKAULIZA MZEE UMEKASIRIKA , ALAFU UKAJIBU KWA HASIRA KWAMBA UJAKASIRIKA. SASA HII NI NAFASI YA KUTOA NAFASI MUHESHIMIWA TULIYE NAYE ILI BIDII YAKE IENDELEE, AMEKUTA MAMIZIZI HAYA KATIKI. MPENI APUMUE KIDOGO ATAKATA MAGOGO KIDOGO KIDOGO.AMEFANNYA MAMBO AMBAYO YANGEKUWA NI NDOTO KWA WATANZANIA. AMEWAFUNZA MAWAZIRI WAKE KUWAJIBIKA PINDI WANAPATA MISUKO SUKO. HALAFU MKUMBUKE KWAMBA DIVIDE AND RULE INANDELEA. HAWA JAMAA WEUPE NI FLIP-FLOPER(VIGEUGEU) SNITCHERS, WEWE NI WAZIRI WATAKUDANGANYA NA VIJISENT HALAFU WANATOA UMBEYA SISI TUNAUKUMBATIA TUNAFUKUZA WATENDAJI BORA SABABU YA VIJISENT WAO WANAKAA PEMBENI WAKICHKELEA HEMBU MUONE HAPA AKIFANYA VITU VYAKE HUKO.
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=-3Z0ErRoiCs
you can run but you cant hide.........
ReplyDeleteMzee kipanya nakukubali sana,sasa mwenyewe akiona sijui anafurahia picha hizi,ama ana nuna?Namaanisha mwenye company ya ANBEM na kiwira, kazi kweli kweli,keep it up Kipanya!
ReplyDeleteANONI 1:06 BOB ANASEMA UNAKIMBIA MBALI LAKINI HUWEZI KUJIKIMBIA HAPA KATIKA RUNNING AWAY
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=R378b8o7jQg
Annon wa kwanza hapo juu,.. elewa kwanza kabla ya kukurupuka na kuandika. Political cartoons zina tabia ya kutoa hidden messages, so tuliza kichwa na isome tena. Cartoon imesimama hio... In short Kp hawasemi wawakilishi wetu.
ReplyDeletejamaniKipanya ni nchokozi wewe!! Babu wa watu ameikaa bichi wewe unamsemelesha eti wakimaliza bunge watakuja spidi unataka akimbie na kismiming kosti chake mweeee!!!
ReplyDeleteNdio KP message sent. Ilikua siasa ya majitaka tu na baadhi ya waliopewa kazi ya kuchafua watu upoitia vyombo vya habari. sasa wameambiw awaach wamacha na ndo mwisho wa stori. Muzee hapo amejikalia zake bach na kitabu pembeni pamoja na kipoozeo. Wewe mbona huna hata kimoja au unasubiri vile vipoozeo kule nyuma??
ReplyDeletefunzo jingine ni kuwa wakt tunapiga kelele pia tufanya kazi kwani mwisho wa siku tutabaki na kelele zetu na kupiga miasyo na tukisubiri kama kipanya angalau adondoshe.
Hongera kw akujua umuhimu w akitabu na kiburudisho wengine wakiona vitabu wanapata allergy na hapo wangejipooza na mapooozeo chapa muntu. kw astaili ya muzee hapo kweli tanzani abila nanhii inawezkana.
heko Mkpa kw akuonyesha umuhimu wa kitabu na mapoozeo halali endelea kutanua kistaarabu wakt wako ulifany amengi.
We anonymous wa kwanza JUNE12 10:55am.Kipanya hujamwelewa vizuri.Please take a moment before you post a comment.Kwa kukusaidia tu kwa ufupi KP anasema wananchi waliokuwa wanamshambulia huyo mwenye chupa ya kilevi na bilauri,wamehamia kwenye kufuatilia kesi ya Zombe na Kikao cha bunge vitu ambavyo vinachoendelea kwa sasa na kuchukua uzito kwenye vyombo vya habari mbali mbali.Mimi ndivyo nilivyomwelewa KP,naweza kuwa nimekosea na mimi vile vile.
ReplyDeleteUNCLE BEN USIKONDE WALA NINI--haya majungu wala yasikunyime usingizi..wabongo wakipiga kelele, kelele zao zinapoa haraka sana pale muhusika anapovuliwa post aliyonayo na kuachiwa ALE VIZURI....kwa staili hiyo wewe unababaika nini?.....watakuvua post gani?......wao warie tuu....WATAKUFA NA KIJIBA CHA ROHO!!.....Bali uncle kwa vile una weakness ya HASIRA basi wanaweza kukumaliza kirahisi sana kwa presha yako mwenyewe....utaanza mara presha, halafu sukari and then vikikutana pamoja under the same destination UMEKWISHA......control hasira uncle....hawa kelele zao ni za kawaida tuu......DEBE TUPU HALIACHI KUTIKA......MRIEEEEE1!!!!
ReplyDeleteTumaini,ndugu yangu nakufahamu siku nyingi, najua ni kwa sababu ya hali fulani huwa watu fulani upedna kusifia watu fulani ili wapate kitu fulani.PLEASE ukiwa kama good article writer msomi wa UDSM, unaweza kuniambia kitu gani amabcho kikwete amekifanya mpaka umsifie.REMARKABLE CHANGE, that someone atagundua uwe mkweli kaka.yaani kuonekana kwake kwenye ile TV ndio imekufurahisha?? viongozi wanagapi wanamawazo na mipango mizuri ila hawafanyi linalopaswa kufanywa??
ReplyDeletesi mlaumu mkuu wa nchi,labda kafanya kitu sijakiona nieleze....
au niandikie imanimartini2222@yahoo.com
USA
Kipanya! ama kwa kweli!
ReplyDeleteDO ANNON 8:26 WA USA NAKIGUGUMIZI HAPO SUBIRI KINIISHE MAANA NIMEKOSA HAPO NAOMBA MSAMAHA . NILISOMA VIBAYA KABIBLIA SIJII KILISEMA NI TII MAMLAKA AU NISIFIE MAMLAKA. BILA WEWE NINGEANGUKA HAPA NAKUSHUKURU SANA KUNIWEKA KWENYE MSTARI.
ReplyDeleteTumaini kwa vituko mkuu huachi, sina haja ya kukusamehe, hujafanya kosa lolote,kwenye ukweli tuzungumze ukweli.Nadhni na kipanya yumo humohumo kwenye ule mkumbo wa kutafuta Mkapa na issue zake, wakati serikali pekee ndio wenye nguvu za kumfanya wananachi tunavyotaka.SWALA NI HUYU MKUU WA KAYA ANAFANYA NINI NAE, MIAKA KARIBU 3 SASA. WAKATI TUNAMZOMEA MKAPA ,TUKUMBUKE PIA KIKWETE ANAWAJIBU WA KUTIMIZA AHADI ZAKE,SIYO ANATUPUMBAZA KUPITIA WAANDISHI TUZUNGUMZE YA MKAPA TU.
ReplyDeleteWE KIPANYA MBONA HUMCHORI KIKWETE?? HATA SIKU MOJA SIJAKUONA,KUMBE UNAONEA WATU
NAJUA Tumaini mtaaarabu siku zote, big up mzee