BONGO DJS BAADA YA KUFUNIKA VIBAYA NA MSAANI ALIKIBA NDANI YA READING WANAKULETEA SHOO KABAMBE YA LADY JAYDEE aka JIDE aka BINTI MACHOZI NDANI YA READING FACE CLUB TAREHE 28/06/2008.

NI SHOO MOJA TU!!

USIKOSE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2008

    Ni kweli JIDE anafanya shoo moja tu , kwanini usifanye na London kutuondolea usumbufu wa kudrive mpaka MK. Unajua tunakupenda zaidi ila ya dunia yametuzidi! siku zote ukija Ukerewe waishia Milton, sisi twataka tukuenzi! njoo London tucheze pamoja.si unajua mazoea yana tabu nasi twakupenda twazisukuma siku ili ufike.tuchanganye changanye

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...