TANZANIANS IN DIASPORA SUMMIT NOV/DEC 2009 – FEEDBACK

Mtandao wa Wanataaluma Tanzania (TPN), umepokea maoni ya Wanataaluma na Wadau mbalimbali kuhusiana na uwezekano wa kufanya Mkutano uliotajwa hapo juu. Tumepokea emails ziadi ya hamsini (50) na simu zaidi ya ishirini (20) kutoka ndani na nje ya nchi na pia kukutana na wadau zaidi ya kumi (10).

Wadau wengi zaidi ya asilimia 90% wameafiki wazo hili lakini pia wapo wachache waliobeza na kudhihaki wazo hili kupitia blog yetu hii ya jamii. Bado mawazo ya aina yote na mlengo wowote yanakaribishwa kupitia
president@tpn.co.tz. Unaweza pia kuomba nakala ya majumuisho ya maoni ya wadau mbalimbali na ukatumiwa katika email yako baada ya wewe pia kutoa maoni yako.

Ili kuweza kufanya tathmini ya kutosha, TPN imeratibu mkutano wa Wanataaluma na Wadau utakaofanyika siku ya Ijuma Tarehe 27-06-2008 British Council kuanzia Saa 11 Jioni kujadili kwa kina wazo hili.
Pia katika mkutano huo wawakilishi wa TPN waliohudhuria mkutano wa China-Africa na Sullivan watatoa report ya mikutano hiyo. Pia Contacts za Kibiashara za China na Marekani zitagawiwa.
Pia Watakaopenda kuunganisha Nguvu za Kibiashara na Wanataaluma wengine wanaalikwa kufika na watume maelezo yao biashara zao wiki moja kabla ya mkutano. Wote mnakaribishwa.

www.tpn.co.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. THE GAME OF BY-PASSING OTHER PEOPLE DESERTATIOM FOR
    PHD HAS BEEN DONE BY MANY AND I HAVE THEM ALL IN MY
    FILE.LET ME GIVE YOU EXAMPLE
    FROM DEPARTMENT OF DS, WHERE PROF MARJOE MBILINYI WHEN
    SHE HAD MASTERS, A PHD STUDENT WHO IS NOW PASSED AWAY
    ASKED FOR
    MARJOE ASSISTNCE ON HIS GRAMER OF HIS ENGLISH
    THESIS,MERJOE WAS TAKIMG EVERY NOTES THAT INTELGEENT
    CHAGA BOY GIVE HIM AND SILENT
    MISS MARJOE OR MRS MBILINYI PRESENTED THE THESIS AND
    IT WAS PASED WHEN THEAT PRESENT HIS TITTLE THEY TOLD
    HIM WAHT YOU
    HAVE PRESENT HERE AS BEEN PRESENTED BY MRS MBILINYI(NB
    THIS PARAGRAPH IS FULL OF FALACITY.)

    OOH KUMBE SIO TNGP NI TPN

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2008

    Tumaini,

    Your English stinks, and your message is not clear even after my hard effort to correct your grammatical mistakes.

    I suggest you ask the so called Miss Marjorie whom you are attacking to also help you with English grammar.

    Or are you that intelligent Chagga boy that passed away coming back now to seek some revenge?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2008

    President
    sipendi kuandika sana.mimi ni kichwa,nakupa quote uichambue
    .....Intense feeling too often obscures the truth - Harry S. Truman
    UKWELI NI ASILIMIA KUBWA IMEKWAMBIA UACHE KUIGA HII SUMMIT, HUWEZI KU PROMOTE 'IMITATION' KWA KUMSAGA ALIYEVUMBUA

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 12, 2008

    TOWN SUMMIT sio wazo zuri, rural village meetings ndio nzuri...kumbuka asilimia 82% ya wa tz wanaishi vijijini
    kuandaa summit za wa vaa suti kempinski hakutatua umaskini wetu, ni njia ya kupata pesa tu

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 12, 2008

    Pia Contacts za Kibiashara za China na Marekani zitagawiwa.
    ...another TANGIBLE FROM SULLIVAN SUMMIT

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 12, 2008

    Diaspora ulaji mwingine.

    Mh.Tumaini andika kwa kiswahili kwani hiyo lugha ya watu unaibumunda kupita kiasi. Makala yako ingeeleweka kwa kiswahili. kwa mtu ambaye hajui kabisa kiswahili hataambulia hata moja zidi ya mchanganyiko wa maneneo ya kiingereza.

    kiswahili ni lugha tukufu tuache kasumba ya kudhani kiingereza ndio usomi kumbe ni lugh akama nyingine tu. Lakini kama lengo lako ni kujifunza kiingeereza ruksa kuendelea lakini kama ni ku-communicate hamna kitu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 12, 2008

    umepokea email 50 lakini umeshindwa kuwajibu email hata moja. hata kusema kusema thanks point noted? You have a long way to learn how to organize.

    ReplyDelete
  8. kiingilio ni bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee au?

    ReplyDelete
  9. JOAN MAONI YAKO NIMEYA KUBALI KWA DHATI HIKI NI KIPINDI CHA MPITO. BAADA YA WIKI MOJA KUTOKA LEO UTAGUNDUA KWAMBA THAMANI YAKO WEWE KAMA MTANZANIA NI MABILIONI YA PESA NA UTAKUWA NA AKIBA YA KO USIHOFU. NAKUPONGEZA KWA KUAGA UMASIKINI FIKIRIFU UNAKARIBISHWA KWENYE UTAJIRI USIO NA MWISHO YAAA NI WA MILELE, VITABU VYA MUNGU VINASEMA SEMA UKWELI UWE HURU MAANA YAKE SEMA UWONGO UJIONGEZE MINYORORO. KWA KILA UKWELI UNAOONGEA KILA SIKU UHURU WAKO UNAONGEZEKA, NA KATIKA UONGO UNAOONGEA KILA SIKU VITANZI VYAKO VINAONGEZEKA. USISAHAU KUNA UONGO MTAKATIFU. KAMA MTU ANAULIZIA MWINGINE YUKO WAPI AMUUEWEWE UKASEMA HAYUPO ILI UMUOKOE HUU NI UONGO MTAKATIFU. NAONA KUNA KABURUDANI HAPA CHA WAWAKILISHI NA KISWAHILI

    http://www.youtube.com/watch?v=AOfEtB4wbQw

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 14, 2008

    Michu unazuia sana ushauri wetu.Sio wa matusi wala dharau.kwanini unamlinda sana Mr Presida
    Nashauri tena, TPN wachague tume huru kufanya feasibility study kuona kama hii TOWN SUMMIT (IMITATION) NI VIABLE AU LA. kuendesha taasisi ya wasomi transparency ni muhimu na corporate governance ndio mhimili mkuu wa ku sustain taasisi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...