Home
Unlabelled
mikonooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ivi huyu nakaaya ana washauri kweli au?anapendaga sana kuvaa vikaptura vya aina hiyo halafu HAVIMPENDEZI anaonekana kama giant.
ReplyDeletehalafu huyu amanda nilikua namsema kumbe ana umbo la kimiss hivyo??BIG UP
weeee michuzi weee mko wapi hapo mbona pamejificha sana
ReplyDeletehuto tumiguu mhhhh teh teh teh
ReplyDeletebamuda shorts zina wenyewe
hivi michuzi huwa una enjoy kuwashka shika hawa mademu nini? duu babu poa eeh. na ndo hichi tu tulichojaliwa sisi wabongo yani kila mare mara sijui fashionshow hii mara sijui vile mara hivi, pigeni kitabu eeh mnafikiri vitakusaidiyeni nini hivi vishow show.ujinga na upumbavu mtupu, wenzetu wa west africa wanakwenda mbele na elimu sisi tumebaki na mambo ya kijinga jinga.
ReplyDeletekaka issa kwa kubambiabambia sikuwezi sa huo mkonoziiiii kwenye mviringo wa dunia ndo tusemaje au ndo utambuzi wa mabara kwenye mambo ya jiografia?haya bwana watakufuata wenyewe daily news
ReplyDeleteNajua taaluma yako ni mpiga picha sasa inakuwa inashangaza kukuona umepigwa picha ,je ni nani anakupiga picha hizo,tunapenda kuona kazi zako,kama mpiga picha sio wewe kupigwa picha,hali hiyo imekuwa inajitokeza pia kwa mdogo wako.
ReplyDeletembona ilo get linaonekana kama la kuingia guest house mlienda kufanyeje
ReplyDeletenaweye wacha wivu, Michuzi hajajificha ila ni Mikonooooz, hapo ni kwenye babda la maonyesho la deile nyuuuuz pale sulivan ambako michuzi amekuwa kivutio kikubwa sana hapa a-town. wadau wengi walikuwa wanamsikiaga tu.
ReplyDeleteNakaaya is very beautiful,anavutia kutoka kila angle she is actualy her self,go mama
ReplyDeleteanon wa 9:29PM umenichekesha sana....sasa wewe wasiwasi wako nini?
ReplyDeleteTop photo reminds me of Brigitte Nielsen standing side by side with Eddie Murphy in Beverly Hills Cop II...
ReplyDeleteWameletwa na mazee yao!Hayataki kuwa MISS
ReplyDeleteWabongo saa zingine hamna cha kuongea sasa miguu ya nakaaya inakasoro gani?halafu mtu unavaa uwe comfortable na unavyopenda wewe binfasi, hi sio fashion show h,kama ma box yamekulemea sema sio uanze kukandia vitu ambavyo havina maana tena na hisi we vimiguu vyako kama tooth pick changanya mbele
ReplyDeleteMisupu,
ReplyDeleteSiku nyingine usikubali kupiga picha na Nakaaya, maana imebidi mpaka demu ainame kidogo ili angalau mlingane na bado hakufanikiwa hakufanikiwa.
Labda ukivaa raizon unaweza kumkuta na ukampunguzia shida ya kuinama. Yaani ni noma demu akiwa mrefu halafu awe amekula mikonoz!
Hiii!!!Kaka Misupu! huyo demu wa Juu jina lake??naniii!hi!NAKAYA!
ReplyDeletembona mrefu kakuzidi kimo ?umenikumbusha Pepe kale na Emoro! enzi zile!
Huyu Demu wa chini poa !laki mkono wako naona kama unaelekea kushuka chini kunako??kiu?no naniii!?
JAMANI LEAVE NAKAAYA ALONE! akivaa bamuda shorts sijui kikaptura si kataka yeye, kwani mpaka wote tuwe na miguu mizuri.mnachosha bwana
ReplyDeletehalafu kuna anon mmoja kaongea kuhusu michuzi kupigwa picha ACHA PUMBA kwa kuwa yeye mpiga picha basi yeye hatakiwi kupigwa?mbona kaweka nyingi picha alizozipiga humu,iweje usiseme siku zote,useme leo..UMBEA TU
mmmh weee nakaya embu jifunze kuvaa!! ndo vaa gani hiyo,,,!!
ReplyDeleteHaya Mechoose,Mzee wa Konooooz,Kazi kwako KUSUKA au KUNYOA!Hapo VIFAA VYOTE VIKALI.Tukuone sasa utaangukia wapi,mambo siyo mchezo mze!Ukumbuke Kunawa tu kabla ya Kula!
ReplyDeleteHATERZ, stop hating!whats wrong with Nakaaya's outfit??? GF U looking good.
ReplyDeleteNkaya huo uvaaji na hicho kipara utadhani msagaji.. ana limwili mwili fulani hivi
ReplyDeleteMICHUZ,TAFADHALI WACHA MALIZA .............. SHAURI YAKO MIMI SIMO,TUTAKUKONG`OLIIII. INABIDI TUKUENDEE "BIG" BAGAMOYO.UTAJIKUNA WE! MKA KESHOKUTWA ASUBUHI. TEEEEEE HIII TE HIII TETETE.
ReplyDelete