Home
Unlabelled
miss tz EU 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa vipi kwa nchi zisizo kuwa katika shengen? au hizo hazihesabiwi kama ni europe
ReplyDeleteMimi mbona sijasikia Miss Tz kutoka Italy?Au wabongo wa Italy kama kawaida yao wamekauka?!
ReplyDeleteKwa waandaaji wa hii shughuli, sio kila mtu ana internet na kusoma huku nimekutana na watu kibao nawaambia kuhusu hii hapa ujerumani hawajui kabisa, chapisheni hili tangazo basi halafu mtambaze sehemu mbalimbali Ujerumani atleast watu wanaoweza kuja harakaharaka kama wa Krefeld, Cologne, Duesseldorf nakadhalika wengi hawajaisikia hii kitu. Mnaiprint tu na kuisambaza kwa wabongo na waafrika sehemu mbali mbali saluni n.k.
ReplyDelete