habari zilizoingia sasa hivi zinasema maandalizi yamepamba moto na tayari warembo zaidi ya 15 toka kila pembe ya nchi za shengen wamejitokeza kuwania taji hilo na tiketi ya kushiriki miss tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2008

    sasa vipi kwa nchi zisizo kuwa katika shengen? au hizo hazihesabiwi kama ni europe

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2008

    Mimi mbona sijasikia Miss Tz kutoka Italy?Au wabongo wa Italy kama kawaida yao wamekauka?!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2008

    Kwa waandaaji wa hii shughuli, sio kila mtu ana internet na kusoma huku nimekutana na watu kibao nawaambia kuhusu hii hapa ujerumani hawajui kabisa, chapisheni hili tangazo basi halafu mtambaze sehemu mbalimbali Ujerumani atleast watu wanaoweza kuja harakaharaka kama wa Krefeld, Cologne, Duesseldorf nakadhalika wengi hawajaisikia hii kitu. Mnaiprint tu na kuisambaza kwa wabongo na waafrika sehemu mbali mbali saluni n.k.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...