Home
Unlabelled
miss universe 2008 aagwa rasmi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mtoto mzuri
ReplyDeleteAAHH! BONGO NAO MMEZIDI SASA NAONA HAKUNA CHA MAANA CHA KUFANYA MIAKA HII, KILA SABABU ITATAFUTWA YA UMISS FULANI, UMISS FULANI. WAJAMENI KWANINI MSIWE KAMA ZAMANI KUWA NA UMISS TANZANIA TU. AMBAYE ATAKWENDA KUWAKILISHA KWENYE UMISS WORLD?
ReplyDeleteTumechoka na mambo ya u miss. Michuzi mbona habari nyeti huto humu, kama zilizotolewa magazetini CHENGE na KATIBU wamekutwa wakifanya mambo ya UCHAWI bungeni. Na kesi ipo POLICE?
ReplyDeletepamoja na umiss-bongo na ushirikina wa mzee vijisenti, lakini tusisahau kuwa Mkapa hajajibu maswali yetu, husasan kuhusu ukwapuaji wa mali ya umma ya kiwira. Huu umiss na vikolombwezo vyake visitusahulishe masuala ya msingi ya maendeleo.
ReplyDeleteatarudi kama richa adhia,na kukazania kusema walikua racists kama basila mwanukuzi. mi nipo hapa nasubiria
ReplyDeleteAmanda huitwi Ole Sululu bali wewe waitwa Amanda Ene Ole Sululu.Wamasai wenzangu hapo mpo?
ReplyDeleteNENDA KATALII DADA URUDI NA ZAWADI..ASHE NALE
ReplyDelete