Salaam Michuzi,
Naomba uiweke http://udadisi.blogspot.com/ katika listi yako ya blogu mbalimbali kwenye http://issamichuzi.blogspot.com/.
Hongera nimeiona http://www.bongotyube.com/.
Bado wanaharakati tunasubiria uweke picha za semina ya blogu uliyoiendesha kwa 'mbwembwe nyingi' pale TGNP!
Asante,
Chambi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2008

    Unamuomba Michuzi akuweka kwake wakati wewe mwenyewe kwake hujamuweka, lol!

    ReplyDelete
  2. Asante Anon, ushauri wako wa bure nimeufanyia kazi. Naona ndio "Nipe Nikupe" hiyo!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 17, 2008

    chambi chachage fanya fanya uhimarishe web yako.imelala!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...