Mama Veronica Kibwana wa Mbezi, Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mume wake, Jackob Kibwana, kilichotokea nyumbani kwao Africana, Mbezi, Dar es Salaam, Siku ya Jumamosi, tarehe 14/6/2008, saa kumi na mbili Asubuhi.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao, hapo hapo Africana, Mbezi na mazishi yatakuwa siku ya Jumatano, tarehe 18/6/2008, katika makaburi ya kinondoni.
Habari ziwafikie watoto wa marehemu, Steven na Sebastian, wanaoishi London, Uingereza, Mrs Diane Deo Mushi wa Regent Estate Dar es Salaam, ukoo wote waA Kibwana, Ukoo wote wa Mallya, Ukoo wote Munishi, ndugu na jamaa wote.
Kwa taarifa za ziada kuhusiana na msiba, wasiliana na wafuatao
- Tony Uronu +255-715-825258
- Deo Mushi +255-787-500111
- Jay Madeleka +255-774-267112
Kwa taarifa za ziada kuhusiana na msiba, wasiliana na wafuatao
- Tony Uronu +255-715-825258
- Deo Mushi +255-787-500111
- Jay Madeleka +255-774-267112


Poleni ndugu zangu.
ReplyDeleteMungu ailaze roho ya marehemu pema peponi!
Elifaa