Home
Unlabelled
mustafa hassanali avamia a-taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mamodo wengine nao
ReplyDeletejamani eeh, FIDELINE IRANGA unajiaibisha na hicho kitopu.mwanamke maziwa yote nje..how could you?SHAME ON YOU. lini unaretire?first of all,huu ndio ufisadi wenyewe,why are you a model in the first place? kwanza mnene,pili hauna mvuto wa kimodo,tatu una tabia mbaya(nguo gani unazofaa) halafu ona kwenye video ya mikasi,matusi unayofanya nje nje nne wewe umepitiliza kiumri
ReplyDeleteMICHUZI DONT U DARE,SNIP THIS COMMENT,NINAOMBA UIPOSTI ILI FIDE ABADILISHE TABIA AS SOON AS POSSIBLE,KABLA HATUJAANDAMANA.TUMECHOKA VITUKO VYAKE
AMINA YUSUF
GIRL POWER!
Mhhhh Dada Amina hapo juu hutembei nini mbona vitu vya kawaida hivyo labda kwa tz ni vitu vigeni lakini sasa kwa upande mmoja au mwingine huyo kibonge kazidisha sana haoni haibu wenzake wote wamevaa vizuri yeye tu anakuwa kama katuni sura imekomaa kupita kiasi kwanza mnene hata fashion hana vibonge sasa hivi hawana mpango wamepita na wakati sasa hivi vipotabo lakini ni kweli bora avae nguo za kuheshimika
ReplyDeleteAmina Yusuf a k a gal power, Iranga yuko lindoni anawinda, si mablack wamemwagwa kwenye mkutano, anabahatisha bahati yake, she is single and may be its her golden chance to get Mr. RIGHT! si unajua nigazz wana mind nyonyo kubwa dizaini ya kwini latifa wa kwenye living single. hahaha.
ReplyDeleteMhhhh babu kubwa ile video ya mikasi nilikuwa siifatilii kabisa kumbe huyo dada yupo pale eheeee bwanaeee ndio kumbe ikaitwa mikasi kweli hiyo ni mikasi babu kubwa haya kazi kwenu wabongo kuleni maisha ya lakini msisahau maisha sasa hivi yamekwenda hovyo sana sio mchezo jamani.......
ReplyDeleteHongera sana AMINA YUSUF ni kweli bora mumuelimishe mwanamke mwenzaneu maana huwezi kumuona mtu anapotea alafu ukamuacha itakuwa sio vizuri kabisa babu kubwa ni vizuri kabisa...kibong anataka mambo ya juu na vipotabo na wenyewe watasema nini hahaha....
Wewe Amina Yusuf acha kupayuka tu na domo lako chafu kama shimo la choo. Wewe mwenyewe kwanza ni kibonge kama mcheza Sumo vile unadhani hatukujui na sura yako ya kutisha kama Beetle Juice. Kwanza tumia jina lako la ukweli na sio kujiita Amina Yusuf, bichwa kuuubwa utafikiri garimoshi.
ReplyDeleteKila mtu kashuka A town...wanatakakujinyakulia mAA nini????
ReplyDeleteJamani Fideline Iringa ni yupi huyo. Ungempoint basi tumjue...manake hayo mausia uliyompa kama ana six sense atajiuzulu leo leo...there is another easy way to make a living bongo bwana sio hii kuaibisha sister zetu tu
ReplyDeleteamina kweli umesema....(kula tano) mimi nilifikiri ni mimi pekeyangu ambae sipendi mambo ya fide kweli amepitiliza amezidi kujishembedua na kujiachia wazi yaani kwenye ule wimbo wa mikasi mmmm!!!
ReplyDeleteI agree 100% with anon wa 9:24. Yaani shame on Fide. Is it that the only way she can get any attention is to bare her shameless boobs out in the air!!??? How dare she call herself a model, haoni models wenzake? Wametulia, wanapendeza na wana mvuto. Fide anatangaza biashara gani huko A-town, aondoshwe haraka, asiitie aibu Tanzania!
ReplyDeleteWewe mshamba nini? nani kakuambia model lazima awe mwembamba? Fide ni plus sized model na kuvaa kitop hicho hakina tofauti na ubaya wowote kwa wageni ni wana culture ya kiarabu yaa mwanamke kujifunika gubi gubi??
ReplyDeleteEti video ya mikasi kajiachia , wewe hujaona baadhi ya wageni wamarekani waliokuja kuna ma movie stars humo na wamesha vua nguo kuonyesha utupu kwenye movies na mbona wamepewa heshima yaa kualikwa na kuja bongo? usiropoke ovyo.
Mwachni Fide akamue ni model na ni actess vile vile na anamvuto.
luv u fideline yaani unawakilisha mamodel wakibantu,beauty is not about wembamba u luk curv and maraptious natural colour ,simple down to earth and smiley big up happy gal
ReplyDeletemmmmmmm sijaona kabisaaaaaaa
ReplyDeleteHivi Fidelin ana undugu na mpoki?maana dame they look alike
ReplyDeletemi mwenyewe fide simkubali sina haja ya kuongea sana...analazimisha vitu sana
ReplyDeletenimbaya halafu si model kajipendekeza tu ziwa utafikiri ngombe wa kimasai anataka kukamuliwa eeti fasieniiiii mwe. hebu atoke kwa hao watoto akatafute ma nigar wa mh filigisi mengese pumbafu
ReplyDeletefide hasemwi kwa vile mnene. na kwa vile hao mastar wa state wanatoka na vichupi kwa hiyo na sisi vichupi ndio tuvifagilie,hapana.hata huko state hivyo vichupi havifagiliwi na wote.tatizo fide confo lake limepitiliza sana,na hakuna wa kumweleza kuwa apunguze speed japo kdg.hiyo milkshake yake inatia kichefuchefu.mchana wote huo mtindi wote nje!!kulikoni!!ndio anatangaza tender kwa nguvu zote!!mbona wenzake wameficha saa sita zao.mvuto hana,na hao designers wa bongo kweli wamekosa walimbwende!! wakom wanene bomba lkn fide no no no no.hakuna cha go mama wala go baba.anajishebedua tu,sijui nani maskini kamuongopea huyo mdada!! kwa kweli anajichora tu.pole sana fide.
ReplyDeletenaomba msikilize usia wangu, i have done my share of time as a model in my youth.bongo mtu yeyote tu anakuwa model,ila nilichokuja kugundua baada ya kuondoka,ni kwamba theres more to that,because i could hardly get jobs overseas.anyways, models wapo wa aina mbili: glamour model au catwalk model
ReplyDeleteglaamour model: hawa ni size yoyote,umri wowote na wanatumika zaidi kwenye matangazo.wanapendelea wawe na mvuto(au wazuri)
catwalk model: hawa ni model wa kwenye jukwaa,wanaitajika kuwa warefu na wembamba. uzuri au sio wazuri hiyo haiiitajiki
huyu fide ni catwalk model,HAIFAI,anatakiwa awe glamour model(ila sijui kama sura inalipa) japo namjua fide from faces international when we were working together,alikuwa mwembamba and alifit for catwalk.lakini for now,ningemshauri achill kwanza,kwani naona kama anapotea! all in all,hamna mtu mbaya duniani,kwahiyo fide pia ni mzuri kama mimi na wewe. i do agree with you AMINA YUSUF GIRL POWER umepatia sehemu zingine,ila sehemu zingine na wewe umepotea!
ex-model
Fide hapo km yule jamaa wa ze comedie anayeongea km wahaya.DUH!!!
ReplyDeletesura mbona nyeusi hivyo huyo fidelin???kwa kweli havutii
ReplyDeletewewe anon :08 na wewe acha pumba, usiingize movie stars,kwanza nani kakwambia wanakuwaga uchi?wanakuwaga na stand-ins!...kaulize vizuri hollywood watakuelezea usipayuke hapa... FIDE KUWA NA ADABU,LOH,MITITI YOTE NJE,UNAMWONYESHA NANI SASA?ILOO
ReplyDeletemiss keys
anon 11:40 fideline iranga ni huyo mweusi mnene kupita wote na ambae maziwa yapo nje! inasikitisha!
ReplyDeleteHAHA nimeshangaa commenti zingine
ReplyDeletewajameni asanteni sana,kwa waliosapoti,kwa walionitukana asanteni sana
wewe mdau annoy june 02 11:27 umetukana sana,nakushangaa,hunijui sikujui sasa unawezaje sema mimi sio amina?halafu pia,sikutukana,nimejaribu kumshauri.sijui dini yako ila kwenye dini yangu ni mwiko kutomtaarifu mwenzio akiwa anapotea.pole sana kama nimekukwaza ila ukweli utabakia pale kwamba simuheshimu huyu dada,nitauheshimu pindi pale atakapobadili tabia. siongei tu,nimeshafatilia nyendo zake muda mrefu na hata waliopo bongo watakuwa wanamjua alivyo.
AMINA YUSUF
GIRL POWER
nendeni mkaone video ya mikasi mwanzoni kwa wasiomjua huyu fide. yani kajidhalilisha na dully nae akawa anamdhalilisha..anashikwa tu jamani..mwanamke wa kitanzania..huna wazazi!!!?!?!
ReplyDeletemi naomba fide ataafutwe kwa mahojiano,ili apewe ushauri,anapotea kwa usawa huu anaweza hata asiolewe,maana aibu kwa wakwe.mimi kama dada yake,NAJITOLEA KUMPA USHAURI anitukane au asinitukane,ila ndio hivyo akimeza asimeze ni shauri yake
ana mvuto anatia aibu fide achia ngazi
ReplyDeletewapeee wapeee vidongeeo vyaaaoo...wakimeza wakitemaaa nishauri yao!
ReplyDeleteanonimas wa 6:05 huyu dully ndio nani au dully sykes???
Me nam-support amina kabisa.
ReplyDeleteHuyo fide, hata kama ni model,hawezi kuvaa vizuri akajifunika?????
Ni kweli wanawake inabidi tuambiane ukweli, enzi za kupakana mafuta zimeisha.
Kama anataka kujua kama watu wanamchukuliaje, ahesabu comments ngapi zimemsema vizuri na ngapi zimemsema vibaya, halafu ajifikirie...
Nihayo tu...
nyie mnaouliza sura mbona nyeusi,kwani weupe ndio kuwa mzuri?
ReplyDeleteMakubwa!!
ReplyDeleteMimi nadhani anasikia Joto! tehe tehe ,kama vile alikuwa na Jaketi la mitego halafu akalitoa,Sasa Fide hueva U r, Jamii ya michuuza blog is not ril filing u r8 now?? Pole.
ReplyDeleteMtapiga domo then mtaenda kubeba box, washamba nyie.Fide atabaki yule yule.
ReplyDeleteHuyu aliye sema movie stars eti wana stand -Ins , wewe mshamba sana pia, sio wote wana body double, wako ambayo hawako comfortable na nudit ndio wa choose body double ,lakini most of them wana kuwa wao na nudity in hollywood ni kitu cha kawaida , mshamba wewe unajifanya una jua sana wakati hujui .
HAMNA HATA HAYA!ETI FIDE ANATABIA MBAYA KWANI NYIE MALAIKA?MANGAPI MMEFANYA?JIKOSOENI NYIE KWANZA KABLA YA KUMKOSOA MWINGINE!KAMA ALIKUA MODO NOW MSTAAFU SO STILL AWE SLIM?YATAWASHINDA!!!MTABAKIA APOAPO!MNAKUMBUKA WT TYRA BANKS SAID KISS MY$%^&&&#FAT $@SS!!!!!MTAJIJU!!!
ReplyDeletefide hajiheshimu,na alieliza kuhusus wazazi fide hana wazazi anakaa peke yake na ndugu yake kule savey chuo kikuu kwahiyo anafanya atakalo.......katisha walahi
ReplyDeletehahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. kaka michuzi usithubutu kufunga hii blog kwakweli ina nipa raha, nawapenda sana waosha vinywa, unajua sie tulio huku ugenini hii ndo niia pekee ya kuburudika.
ReplyDeleteaminia waosha vinywa
nahisi huyo anaetuma comments za kumsapoti fide ni yeye mwenyewe
ReplyDeletesasa si angejichubua kote ? sura nyeusi ka ngozi ya tako halafu utindi wa maimatha jamani ? hamuoni maimatha alicho kifanya? halafu miwani je na kajitia kucheka anamchekea nani sasa photographer au michuzi mmmh yuko nyuma sana kiakili na kimawazo sijui niseme hivyo h
ReplyDeletehalafu kuna pumbavu mmoja anasema go go go FIDE ana go api? kuuza K.. nyambafu . ila mi namuombea wamchukue sababu tz hatutaki uchafu labda huko watampokea kwani ndo kwenye mabo yote ya zaizi yake
anon june4 4:27 wamchukue wapi?halipi!!..ataishia bongo tu na midude yake ya aibu.
ReplyDeletehalafu wewe anon june 4 2:29 umesema pumba na porojo hapo. kama ni model mstaafu WHAT IS SHE DOING THERE?abaki huko kwao savey
Tarehe June 03, 2008 11:12 AM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeleteHAHHA UMENICHEKESHA SANA
wanaume ningependa kusikia what you say about this,maana naona ni akina dada tu hapa wanaponda?ila mmh,kasura kwakweli,kabaya baya kimtindo
Huyu Hasanali ni mwanamke au?
ReplyDeletedu kashehe mpauko humu ndani ndo kwanza nimeingia job kubeba box mara nakutana na hii ngoja nichangie isinipite! mi simpingi da Amina wala simsuport lakini kuhusu huyu Fideline hata mimi picha zake katika mablog kibao zimekuwa zikinikera...sikerwi na wesui wake, unene au umri katika kazi ya umodo, lakini inaonekana kazidi kukaa uchi hata pasipo mnasaba. Utakuta saa nyingine hata si jukwaani ambako tunaweza kusema ni kazini...kwenye hafla mbalimbali utamuona kakaa mbele kavaa nguo nusu uchi...kweli anajichebedue na kututia aibu kiaina...hakatazwi kufanya umodo..lakini heshima kidogo..sasa kama hapo arusha mkutanoni wanaonekana tu ndo wameingia...maziwa kaweka ya nini nje! hiloo...na hiyo miwani arusha kwani kuna jua kipindi hiki...
ReplyDeletepunguza dada Fide...jiheshimu
Jirani mdaku
michuzi nimecheka hadi nahisi kuchanganyikiwa na sichangii kitu leo
ReplyDeletehahah hizi comments fide akiziona,mi simo!
ReplyDeletemanka
wewe june 04,1008 6:47 na wewe kuishi kote bongo hujui kwamba hustafa hassanali ni mwanaume,au unatafuta umaarufu?
ReplyDeleteHaloooooooooooo
ReplyDeleteYani ka michuzi, u have made my day
Nimesoma hapa nimecheka mpaka mbavu sina.....
Amakweli bongo mwisho wa reli...