maonesho ya biashara maarufu kama sabasaba yanakaribia na tayari pilika za maandalizi yameshaanza kwenye viwanja vya maonesho vya mwalimu nyerere barabara ya kilwa rodi. kama kawaida maonesho hayo yanaanza juni 28 hadi july 8 na mwaka huu ni ya 32. kwa taarifa tu ni kwmba tigo ndio kampuni mahususi itayoshughulikia maswala yote ya matangazo na habari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2008

    i miss saba saba jamani..
    mdau
    canada

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...