maveterani wa soka nchini toka shoto ni saad mateo aliyekuwa beki wa pan african na sasa ni kiongozi wa klabu hiyo kongwe, juma mgunda aliyechezea taifa stars na coastal union ya tanga ambapo sasa ni mmoja wa viongozi wa klabu hiyo na omari gumbo ambaye alichezea taifa stars naa simba na sasa yeye ni makamu mwenyekiti wa simba. hii ilikuwa ni katika hafla ya kuzawadia timu na wacehzaji bora wa ligi kuu ya bara katika vwianja vya gymkhana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Duh! Hongera ma veterans, sema hapo Mh. O. Gumbo ni zamani sana, nakumbuka zamani sana. Ila wote nawatakia mafanikio mema katika shughuli zenu, mwenyeenzi Mungu awabariki.
    mchangiaji.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2008

    Duuuu wadau acheni huyu jamaa mzalendo achili kwani huu ndo wakati wake. Kumbukeni kuwa mchumia juani hulia chini ya mwembe dodo. Ujanja kuwahi si kupata. Chill out big benie na piga mnazi wako kwa kwenda mbele.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...