MDAU TUMAINI TEMU AKIJARIBISHA XRYA YA MENO HUKO UGHAIBUNI HIVI KARIBUNI. ANASEMA HUDUMA HII ITAPATIKANA BURE VIJIJINI HAPA TANZANIA KUANZIA WAKATI WOWOTE.

ANASEMA HUO MDUDE ULIOINGIA MDOMONI UNA KAMERA INAYO CHUKUA PICHA YA JINO NA MIZIZI YAKE ILI KUJUA JINO LINATAKIWA LITIBIWE WAP.

ANASEMA PIA KWAMBA ILI HUDUMA HII IFANIKIWE SERIKALINASHAURIWA KUTAFUTA WAWEKEZAJI AMBA WANAWEZA KUTOA COMPUTERS ZA KUTOSHA KWA HUDUMA HIYO.

ANASISITIZA KWAMBA HII NDIO NJIA PEKEE YA KUTHIBITISHA UPARADISO WA TANZANIA TULIOUVUMBUA. "TUNAOMBA NAFASI YA KUFANYA VITU VYETU MIEZI SITA TUU INATOSHA", ANAONGEZEA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2008

    Naamini hatuambii kuwa wao ndo wamevumbua x-ray ya meno ila kwamba wanaweza kununua na kuleta mitambo hiyo huko vijijini (umeme tu uweko). Kwa kadiri ya maelezo ya aya ya mwisho ni kama vile "wamevumbua" - sina hakika kama lugha hii ni sahihi...

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2008

    X-ray ya meno mbona ipo pale Muhimbili siku nyingi tu? Haziko computerised, lakini ni efficient na unapata slide yako in less than 5 minutes!

    ReplyDelete
  3. NDIO ANANO N2 ISSUE NI COMPUTERIZATION NA HUDUMA HII KUPATIKANA BIRO MALINYI ULANGA SIO MUHIMBILI PEKEYAKE ( KUHUSU UMEME MASHINE INAWEZA KUWA KWENYE GARI LINALOZUNGUKA VIJIJI KWA VIJIJI YAANI MOBILE HEALTH CARE. anno1 KUVUMBUA YANI INNOVATION, INVERTION AND CREATIVITY SITAWEZA ILA NAMUOMBA MOLA KILA SIKU ANIWEZESHE. HAPA NIMEWEZA KUVUMBUA MBINU(sera) ZA KUHARAKISHA MAENDELEO. NATAKA NIAENZE KUZITUMIA NYUMBANI. MATATIZO YAKO MENGI EMBU ONA HILI WATU WANAAENDA KONGEZA ELIMU ILI WAONGEZEWE MSHAHARA NA WALA SIO UFANISI WA UTENDAJI WA KAZI ZAO. TUNAWEZA PIA KUWA NA UMEMEM WA NUCLEAR ENEGY INGAWA ITAKUWA NGUMU HASA BAADA YA KUFIWA NA MWANASAYANSI WETU WA MAMBO YA DR KIWANGA . HE WAS THE BEST NUCLEAR HYSIST I THE COUNTRY. NIMESOMA VITABU VYAKE VYA QUANTUM MECHANICS VIKO LIBRARY YA CHOU VINA COVER JEUSI. U UHUNI WAKUPEWWA MSAADA WA UMEMEME KWA MAJI YA MSIMU NI BURE KABISA, AU MAENEO AMBAYO YANA UOTO WA ASILI KAMA KIHANSI ILI WAHAMISHIE VYURA WETU KWAO TAUTAKUBALI KABISA WAKATI WETU. TUNAJENGA RECYCLED HYDROPOWES TOO. HUTASIKIA VITERMINOLOGY KAMA IPTL, RICHMOND.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 18, 2008

    Go buddy tunataka vichwa vinavyoona mbela kama hivi ati huyo fala anasema Muhimbili yaani tzee nzima infunge safari kwenda muhimbili wakati no roads,no rail, no tube plus unakuwa held kinoma. This kinda module itarahisha uhuduma namean?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...