Home
Unlabelled
yanga imara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yanga imara Yanga imara! Simba makopo Simba makopo!
ReplyDeleteKama umezaliwa juzi juzi huwezi kujua wimbo huo...
unanikumbusha mwimbo wa yanga imara yanga imara,simba makopo simba makopo
ReplyDeleteKwa nini wacheza mpira wa soka huwa wanapenda kukunja mikono yao, kama inavyoonekana hapo pichani, wakati wa kupigwa picha?
ReplyDeleteNaona unarudi Yanga kimkanda mkanda.Weka wazi sema wewe ni Yanga wadau wajue moja wacha kutega watu.
ReplyDeletehahaaa, hii kali kweli.Kumbe kipindi hicho walikuwa wanacheza wachezaji tisa tu.
ReplyDeleteHalafu hizo addidas za wakati huo mnaziona machizi.
Big up Tenga
Jamani nisahihisheni kama sikosei,timu ya kabumbu si wana wachezaji 11 kila upande,sasa mbona hapo kuna vijana tisa tuu...au hilo boli la mitaani???
ReplyDeleteNaomba msamaha kama majina hayo sio sahihi,labda Zitto Kiaratu atusaidie...waliosimama Kitwana,simjui,Tenga,Boi,Kapera na Chitete...waliochuchuma Bona,Kilambo,simjui
ReplyDeleteMbona simjui wako wawili?
ReplyDeleteBig Sam
MH.MKUU WA WILAYA YA TEGETA,AHSANTE KWA PICHA YA KUMBUKUMBU,AWA WACHWZAJI AWAKUWA NA WAFADILI LAKINI WALIJITUMA SANA,NAOMBA NIWAKILISHE KIKOSI AMBACHO NAHISI KILIKUWA CHA MWISHO KWA UNGANGALI JANGWANI
ReplyDelete1.HAMISI KINYE
2.YUSUFU ISMAIL BANA
3.AHMED AMASHA
4.ALAN SHOMARI
5.ATHUMANI CHAMA JOGOO
6.JUMA MKAMBI GENERAL
7.HUSSEIN IDD
8.BINIFASI MKWASA
9.MAKUMBI JUMA HOMA YA JIJI
10.OMARI HUSSEIN
11.JUMA KAMPALA.
waliosimama kitwana manara,-,leodgar tenga,boi iddi,omar kapera- waliokaa ni bona max,muhaji muki na mwinda ramadhani.hapa kilambo alikuwa amejiuzulu na kuwa kocha wa yanga vijana wakiwemo juma pondamali,adolph rishard,kassim manara,mohamed mkweche gordian mapango,mohamed yahya tostao n.k.
ReplyDelete