Hello everyone,

I am enroute to Vietnam! I am sending you a photo of Amanda during the rehearsals. Tomorrow on the 8th of July 2008, there will be the preliminary show where judges will select the top 10 who will be announced on the 14th of July.


If you have not voted for Amanda's national costume please visit www.nbc.com and vote. Please tell all your friends, family and colleagues to vote for Amanda!

Thank you and will keep you updated straight from Vietnam!

Regards
Maria Sarungi-Tsehai

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2008

    Kuna matatizo tuliyonao sasa hivi? Je kweli Tanzania utamaduni wetu ni Umasaai? Michuzi Tunaomba mwongozo? Wengi tupo mbali na nchi yetu nzuri lakini tukiulizwa Tanzania kuna nini cha kuona? Inakuwa taabu sana, sijui naomba majibu ambayo ni mbali na Kilimanjaro, mbunga za Wanyama na Utamaduni wa Kimasai? Ndugu Michuzi naomba kwa Tahadhima na Heshima uweke ufafanuzi wako hewani! Ni tatizo hapa kama kila mtu atatumia umasai sijui kama tutakuwa tunaitangaza nchi!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2008

    Amanda Ole Sululu ni mmasai wa kwelikweli siyo wa matangazo sheikh. Anachojaribu kufanya ni kuonyesha wanawake wa kimasai wanaweza kufanya vitu tofauti siyo kuvaa rubega na kuchunga ng'ombe tu...unanishangaza mtu anapokwambia akija tz kuna vivutio gani, hili nalo linakushinda sheikh? au mbwembwe tu?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2008

    Ana miguu mibaya! Anaonekana kama kapotea kwenye hiyo picha.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 08, 2008

    People, for what ever you think/say about this girl, she looks weak. Maybe kwasababu sijawahi kumuona live, i dont know; but comparing her with others, she looks weak and inexperienced, yawezekana huko aliko si ajabu ni wa kushangaa shangaa tu. Flavy Matata alikuwa anaonekana mjanja, Huyu dadaangu Amanda, Mhhh! I doubt it.
    Highfashiongirl.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 08, 2008

    hivyo viatu makubwaaaa
    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 08, 2008

    Waosha vinywa bwana!

    Kila mwenye kabila lake na utamaduni wake kama anataka kuutukuza sio dhambi.
    Amanda ni mmasai na ni moja ya makabila ya TANZANIA, kwanini asiutukuze umasai wake?

    Najua kwauhakika huyu atakua kwenye top ten.

    Msambaa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 08, 2008

    Michu,
    Ukifuatilia historia ya urembo Tz, washindi wengi wametokea kanda ya Kaskazini na wengi wao Arusha.
    Hivyo kuelezea utamaduni wa kimasai na vivutio vya mbuga za wanyama ni rahisi sana kwa washiriki toka Tanzania kutokana na nasaba zao na Mkoa wa Arusha.

    Hapo bado hatujazungumzia Ngurudoto,Momela na kadhalika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...