Home
Unlabelled
biashara matangazo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani style nyingine mh!!! Hata mumewe hawezi kumshauri?? hicho kitu alichofunga mbele ya uso kwenye nyewele KULIKONI? AHH Jamani, dada umeshafika hata Ughaibuni lakini style zako za kishamba tu bado ni za Musoma nini?
ReplyDeleteSamahani dada lakini niko na waungwana kibao hapa niandikapo maoni haya. HII STYLE YA NYWELE BOMU. KILA MTU ANAKUBALIANA NA HILI/
mimi naona huyu dada mnamkosesha raha,cha msingi mumushauri ki saikoroji ili asione kama mnamuchukia. huyo ndiye super star wetu wa taifa changa.
ReplyDeleteTaifa lililodumaa au kubemendwa.
na siku likikomaa na masuper star wetu watajua style kama kawaida.
Jay Dee kwa kweli tunakupenda .... ila badilisha hiyo staili ya nywele haijatulia kabisa
ReplyDeleteWe chakubanga(MPORIPORI) wa kwanza hapo juu mbona una chuki binafsi,style ya nywele kaipenda yeye we haikuhusu hata kama ingekua ya musoma au penginepo we inakuuma nini??au iko kichwani mwako???!!!!! mana misielewi kusuka asuke yeye we uumie.Hata angenyoa upara haikuhusu.Afu unasema kwanini mmewe asimshauri,mmewe ndo kaipenda hiyo style na anafurahi mkewe akisuka hivo.We mshauri mkeo usiingilie mambo ya watu,kilaza we.
ReplyDeletemiss R.Nyange-London
Jamani, mume wake atasema nini? na wakati hawajaambatana bado kama Biblia inavyosema. Wakisha ambatana, basi mume atakuwa na la kusema kwa mkewe. Kuambatana si KAZI NDOGO.
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteNimesoma ktk vyombo vya habari kuwa serikali kwa miaka minne sasa ipo ktk mchakato wa kupata waalimu 250 wa lugha ya kiswahili, ambao serikali ya Nigeria kupitia kwa Olesugun Obasanjo waliwahitaji.
Nafikiri serikali yetu inahitaji msaada wa dada yetu huyu na blogu yako ya jamii ili watanzania wachangamkie ulaji huu huko Nigeria na nafasi zingine 750 za ualimu wa kiswahili Libya, Congo.
Je wadau mna mawazo gani na 'mchakato' huu wa muda mrefu kuzuia ulaji kwa watanzania nchi za nje?
Mdau
Bi Chakumwenda
Kibaha Mwendapole.
Wewe Anon hapo juu kama unawasema wamasai si useme tu. Musoma hakuna style hiyo kati ya makabila 26 yote.May be unalako jambo!! Kama ushamba ushamba wake mwenyewe!
ReplyDeleteLady Jay Dee AKA(Mrs EBBO) Mr EBBO upo kaka, mpaka aanze kuimba kimasai indio uelewe.
ReplyDeleteHii imetulia, haya ndio mambo ya ujasirili mali kujitangaza ndio mafanikio sio kwenda bagamoyo....
ReplyDelete