kundi la kucheza muziki la contagious toka a-taun limetia fora katika tamasha la ziff kwa mavituzzz yao ya uhakika kwa kumwaga break dance la nguvu kama la akina sheba dooh na bugaloo na kutia fora kinoma kiasi hata leo wameombwa wafanye wansimooo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2008

    mashimoz kila mahali ila wenzetu wanajua jinsi ya kuyadhibiti labda habari hii itawasaidia watu wa jiji

    http://news.yahoo.com/s/ap/odd_missing_manhole_covers

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...