mchezaji wa yanga abuu ramadhani (kulia) akiwa mgeni wa kampuni ya GTV kwenye banda la maonesho ya sabasaba akiwa na afisa mauzo wa kampuni hiyo na mgeni wao bandani. taratibu utamaduni wa kuwatumia nyota wa fani mbalimbali katika promo unaingia bongo na kuleta tija

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2008

    Huyu jamaa wa kulia mbona kafanana na Babu Maja Nyenzi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2008

    nashauri nyie sales people wa mashirika mbalimbali muanze kujifunza kuchangamka. Professionalism inatakiwa,kwenye biashara yoyote. Sasa hapo pichani, nyie wote wawili mnamuuzia huyo jamaa mmoja ama vipi?
    Mnachekelea tu kama nini sijui. I am sure mko more concerned na mavazi yenu na mapicha kuliko biashara yenu..uongo?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 08, 2008

    Huyo dada si yupo kazini hapo? Sasa vipi anabeba hand begi yake wakati anatakiwa kuchangamkia wateja? Jamani, acheni u-vanity wenu. Chakarikeni na majukumu yenu ya kazi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...