papaa juma mbizo akiwa na mwanae h mbizo ambaye naye kaamua kuachana na mabongo fleva na kujiunga na bolingo. chini akiwa katika intavyuu yake ya kwanza twanga pepeta ilipopiga tcc club jumapili. nasikia kapita kwa rangi za kupaa kwani na yeye sauti yake inatia moyo....



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2008

    vazi la dada hapo halijatulia sawa

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 01, 2008

    Michuzi hapo ungesema ni orientesheni siyo intavyuu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 01, 2008

    intavyuu yake ya kwanza? hapo umechemka mkiambiwa msitumie swahinglish hamsikii. sasa jiulize nini interview halafu rudi katika sentensi yako uone ulivyoropoka

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 01, 2008

    Jamaa anafanana na Eddie Murphy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...