Home
Unlabelled
kazi ipo h-taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
majina ya waandaaji?? please!
ReplyDeleteisijekuwa ndo walewale walafi wa kolumbus, kama ndo wao hata kama niko houston bora niende bar tu
huyu dj dennis ni kifaa mwanangu!!sijui issue ya waandaaji sasa.tusilizie ni nani
ReplyDeleteWaandaji H-town wamekamilika! Wakiongozwa na Mlangila! Itakuwa bab kubwa..Kama kawa! Amininieni!
ReplyDeleteHoya Shengena na Mwandemane Keep it up! good luck.representing Azania to the fullest.
ReplyDeleteMZEE MEJOR.
Nakubaliana na Anonymous wa Tarehe July 26, 2008 5:20 AM huyu Dj Dennis anajua kupiga mziki hutoki dancing floor akiaanza kupiga anakuna kinoma.sitasahau alivyopandisha nyimbo katika boat party ya MN 4th of july.eniwei hii nitaikosa.
ReplyDeletedj rich namuaminia from turntable to sound.. simameni msimamo wa kudance houston
ReplyDeleteAaaah kama mrangila ndio mwandaaji basi mambo yatakuwa simchezo, Wadau h-town mrangila aminia kinoma. Mimi ninaingia hapo 30th na dj tajiri mwandamane, na dj shengena ataingia asubuhi 31th, lazima nijipe raha h-town nikiingia.
ReplyDeletejamani jamani msitutende kama walivyotutendea Columbus, mi naja huko jamani please waandaaji mjitahidi, tusije kujutia vijipesa vyetu vya gas, sio vingi sana ila hela ngumu waungwana, na nyie munalijua hilo
ReplyDelete