Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2008

    message sent...asante Masoud,you are doing a good job.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 15, 2008

    iv mtikila ni mchungaj kwel,kama kwel waumin wake kwel wamepata mchungaj!! cwez endelea mshajua ninachomaanisha

    ReplyDelete
  3. spot on!!

    But wait, si alidai Rostam alighushi sahihi yake? Sasa kabadili stori tena? Ila Mtikila toka siku nyingi tunamjua hamna lolote danganya toto tu

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 16, 2008

    Mtikila anavuliwa nguo kweli 2008 kuna mambo makubwa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 16, 2008

    Huyu mtikila ni kigeugeu na mchonganishi, haeleweki yuko wapi. nakumbuka kabla ya vyama vya upinzani alikuwa anapiga kelele sana kupinga ccm alipotoka mrema akageuka na kuanza kumpinga na hapo ndo alipoteza umaharufu wake. leo anapiga kelele za mafisadi kesho anenda kuomba ufadhili. mimi napendekeza akapimwe akili ili asije akalaumiwa kumbe anatakiwa kukaa milembe. yangu hayo
    Natombe
    Moshi

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 16, 2008

    kinachonishangaza hapa ni kwamba Mtikila amepewa fedha hizi kutoka kwa hao aliowahi kuwaponda sana na kutaka wafukuzwe nchi hii akiwaita MAGABACHORI wanaoiba mali ya wa-tz.Lakini leo hii, tena Aprili 2008 wakati Rostam akiwa tayari ameshagubikwa na skendo pamoja na "maswahiba" zake, Rostam ameenda kuomba fedha.Jamani ni AIBU na FEDHEHA kwa "MCHUNGAJI" huyu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 16, 2008

    Kama mchungaji yuko hivyo, je hao kondoo wana hali gani jamani? Yeye akitaka kuvuta anaanzisha songombingo kama miaka ya 90's aliwavyopigia kelele magabachori wee magabachori weee, Wazee wa kihindi wakaunda bunge kumtathimini nini anataka wakagundua kua nyumba yake inataka kupigwa mnada, wakaamua kumkombolea na kelele zikaisha kabisaaa, hatukumsikia tea hata kanda zake hazipo kabisa. Sasa sijui anabalaa gani jengine linamsibu nahisi kama yuko katika kusanyakusanya kwa lord RA. Ila kipindi hichi naona kamkanyaga nguru wa muiran atamnukia kwa kuhanikiza/suffocating kwa kuuumbuana na kutajana mpaka watayasema yote wenyewe, kama walopigwa halalbadir ya m-bayana.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 16, 2008

    Baniani Mbaya Kiatu chake Dawa.Jamaa kaumbuka kichizi manake.Wewe ukijifanya mjanja wako wajanja zaidi yako.Kelele miiiiingi,ooh nauchukia ufisadi,mara chama hiki cha upinzani kuwadi wa CCM,ooooh mara ndizi hizi mbivu ooh mbichi,mara mbaazi sikupata jua ningezaa kwelikweli,ili mradi vioja vilioje!Sasa tuone mwisho wake,Mtikila atahubiri nini katika majukwaa ya kisiasa watanzania wakamsikiliza.Bora akatafute kazi nyingine.Labda ya Ukalimani Mahakamani!Na hapo itabidi atulize akili vilevile.Vinginevyo watamtoa mkuku!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 16, 2008

    Msishangae kwani hii ndiyo njia ya kujitafutia maisha hapa mjini kwa baadhi ya watu. Wajanja wameshajua kwamba watanzania ni watu wanaopenda porojo, majungu na chuki hivyo wanatumia hii mbinu ili kujitafutia pesa ya kuishi. Watu kama hawa wapo wengi sana hapa Dar kuweni nao makini kwani watatufanya tuwe masikini zaidi

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 16, 2008

    Nitaipeleka hii globu ya Michuzi mahakamani inilipe fidia

    oh yeah, njaa mbaya sana, haina adabu!

    From now onward, yeyote anayepiga kelele sitamuamini tena ninajua ni kelele za mkosa, akipewa nafasi atakula tena bila ya kunawa.

    Hakuna cha wapinzani wala nini, wote wanatafuta nafasi ya kula tu!!!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 17, 2008

    mkimchoka Mtikila ataibuka Mwanakijiji wa Chadema ambaye nae anajiona Mzalendo na mpenda nchi lakini ukabila wa chadema kuwapendelea wachagga anautetea kwa juhudi zote,hao ndio kila Mtikila wa baadae.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 17, 2008

    Huyo Mwanakijiji si anafadhiliwa na Freeman Mbowe.

    Ndiyo wote kundi moja na Reverend.

    Ukishaingia kwenye JF basi watafuatilia kila thread kujua inatoka wapi na ni kwa nani, wanaripoti wapi, hatujui.

    kazi kutwa kucha ku-spy watu.

    maanake Hiyo JF sasa ni kama mali ya Mbowe na Chadema, kuna watu wana majina kadha wa kadha ili kujibiza mambo ya CHADEMA na kukandya ya wengine na watu hao wote wako kwenye payrol.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 17, 2008

    Mwangalie kwanza....utafikiri shamba boy kakamatwa akitaka kuiba kuku wa tajiri ake....

    mwongo mkubwa...msaliti wa kutupwa...gobacholi fisadi mwenyewe..kaniudhi sana,hapa inaonyesha tunavyodanganywa na wanasiasa wetu

    hana dili tena

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 18, 2008

    umsema kweli kuhusu Mwanakijiji anatumia majina kama kumi Jamii Forums mfano Mwafrika wa kike,koba,bi senti 50,Madela wa madilu na pia ni moderator akiona kuna hoja ya kuibana Chadema anaifuta au anawafungia members wenye mtazamo tofauti na Chadema au Mbowe,ameafungia wengi kina Chinga waliokuwa wakimnyima raha Mbowe, mswahili hadi Majid Mjengwa alikuwa akinyanyaswa sana na hawa Chadema.

    pia kuna mkumbo Kitila anayetumia jina la Asha Abdalla ili kuipa nguvu Chadema.

    mwenyekiti nae ana majina yake.

    raha ya ushindani ni kushindana kwa pande mbili. sasa mkitaka muandike ya Chadema tu, huo si uwanja ambao mnasema hapendelewi mtu na we dare to talk OPENLY hiyo ni kauli mbiu ya Jambo Forum wakati ukweli si huo.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 18, 2008

    OOYA.Nyie mnamlaumu tu huyu Mtikila ishu ya kupewa pesa na Rostam haihusiani na nafasi ya Rostam kutoa pesa ya kusaidia kwaya huku akitoa kauli za kisiasa ktk jukwa la kanisa.Ilibidi tu aseme asanteni kwa kunialika na kutambua mchango wangu kwa jamii.Full stop.Maana hata alipompa Mtikila ni wakati huu huu wa lawama"(ufisadi) KWA nini hakwenda kanisani kwake na kutangaza au kusema kwa kujisafisha kama alivyotumia jukwaa la KKKT.? Hivyo Mtikila ana haki ya kumsema kwa lugha aliyotumia Rostam ktk jukwaa la kanisa akijiosha kupitia msaada wake.Tena Mtikila ana hekima sana ila kwa kuwa hatupambanui tunashika tu la kuona au kusikia bila kutafakuri.Mtikila sema tupone.

    ReplyDelete
  16. Anony wa July 18, 2008 8:46 PM
    Hakuna mtu anayemtetea Rostam au kudai kuwa alichofanya sawa. Watu hapa wanamshangaa Mtikila kwa unafiki wa kupokea hela toka kwa "GABACHOLI" na "FISADI". Rostam alichofanya KKKT sio sawa na ndio maana wakakataa hela zake and that was rightly dealt then. Na watu tumemshangaa na kumsema Rostam kwa wakati wake. Lakini mada iliyopo hapa ni ya Mtikila na tunamuongelea yeye na hypocrisy yake. Isitoshe watu wanasemaga siku zote, clean out your own closet before you start talking $h!t about others!!

    Kwa maoni yako ndugu yangu we unaona Mtikila yuko right kupokea hela toka kwa watu aliowakataa na kuwaita sio raia; na kutoka kwa mtu ambaye ni fisadi, hali ye Mtikila alikemea mafisadi?

    Isitoshe, kuna ishu nyingine kama vile ya ye kuanza kudai sijui sahihi sio yake imeghuishiwa, n.k. Rostam alipomgeuzia kibao ye angetulizana tu na so ingeisha chini chini. Sanasana watu wangemshangaa Rostam na kumuuliza ya Mtikila na KKKT yanahusianaje? Kutaka kujifanya kwake kukataa ndio kumemuumbua. Na kuna sababu alikimbilia kuanza kukana sahihi yake, etc. Inawezekana hela hakufikisha kanisani wala nini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...