wafanyakazi wa shoprite leo kwa mara ingine tena wamemgomea mwajiri wao kudai maslahi zaidi. mabango yaneleza zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 25, 2008

    Wawekezaji wa kigeni wanatuonea sana sisi wabongo. Nawapa big up wafanyakazi wa Shoprite kudai haki zao. Sasa hima, mkitoka nyie wa Shoprite wengine mchukue hatua especially yale makampuni ya kihindi. Wahindi ni waonevu waonevu waonevu. We acha tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...