Kaka Michuzi mambo ya Lushoto Mkoani Tanga ndiyo kama hivi, Nyumba tope, juu mtandao wa dot com!!!
Asante kwa fursa,
Mdau JOHN Kusaga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2008

    mimi sishangai kwasababu huku usa watu wajitinga na ijigari ya nguvu lakini hawana nyumba,hawana hata kazi za kueleweka!sasa ndio hivyo hakuna nyumba lakini kideo ndio hicho!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2008

    Na hupaswi kishangaa, maana 150,000/- ya receiver na 100,000/- ya tv hata kama ni used haisumbui, kama unazunguka dunia ukiwa kibadani kwako hata kama cha tope, au chumba imoja na mlango wa kumbesa, almuradi kombe la dunia (ligi )au bwawa la maini hujitengezea mia mia na kuongeza marafiki au ujirani mwema , anyway laki mbili unusu hujajenga nyumba bado,na ukisubiri bingo huenda na mauti yakakufikia hujatanua walau kwa kucheka na kiyoo ukiwa kibandani mwako Ah! mtu hujikuna ajipatapo jamaniii!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 22, 2008

    Raha jipe mwenyewe atiiii

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 22, 2008

    Ingawa Arusha nako kuna migomba hapa lazima PATAKUA iSHOMIRE AU KANYIGO AU NYEGEZI!!!!!! WAHAYA BWANA AHAHA!!!!!!CHECK BATI LINAVYOSHINE NA KUTU. NEVERMIND NA MIMI NI WA BWANJA NYUMBA ZETU NZURI THOUGH!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 22, 2008

    mwenye huo ungo mzaire nini??? maana wao hujali mavazi na showgame bila kujali analala vipi

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2008

    hahah hii ni ze comedy

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 22, 2008

    naam...nakubaliana na ndugu yangu wa July 22, 2008 10:47 AM,hao wakimbizi ,wadoea kila kitu kigeni na wabeba maboksi waishio kule ng'ambo yaani ughaibuni hawana hata chumba achilia nyumba,wanatutumia hizo picha wakijitamba lakini ukweli ni 'madebe maputu hupiga kelele nyingi'...ahsante.
    bora nyumba yangu ya matope hapo nyumbani.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 22, 2008

    wewe hapo juu una wivu na maisha ya watu. Ipe roho kitu inayopenda kazi ya kueleweka ndio kazi gani....Kazi ni kazi bora mkono uingie kinywani. Kama mtu ana gari ya nguvu obvious ameilease, finance au amepay cash sasa wewe inakuuma nini? Souce ya income yake inakutia roho wasi wasi wa nini...Wewe take care of your cheap car and let's people live life...


    sasa wewe unaona mtu ana dish lake nje uanawasiwasi na kibanda chake. Kama hawezi kujenga bangalor unalolitaka kwanini asienjoy TV yake kama ana uwezo huo?

    Wabongo bwana

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 23, 2008

    Hii ni "strategy" nzuri ya maisha na labda inafaa kuigwa. Kwa sababu jamaa kaanza kwa banda la tope, na kisha kaona uwezo wake baada ya kuuza ndizi anaweza mudu dish. Next atafyatua tofari za block au za kuchoma na kujenga nyumba ya kueleweka. Hana haja ya makuu. Mashgindano ya mpira kombe la dunia ataona sawa na wewe uliyeko ulaya. Chakula anatoa shambani kwake, hana wasi wasi na bills. Simpe and good strategic life.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 23, 2008

    HIVI NYIE HAMUONI KAMA HUO NI UNGO MTU KAUTENGENEZA TU NA KUUPACHIKA HAPO KWA KAMBA.....AMA KWELI AKILI NI NYWELE. ETI MZAIRE, MARA MUHAYA, USE YOUR HEADS TO THINK! I THINK KUNA MTU ANA-IMITATE TU, YAANI WOTE MMEPATA "F"

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 23, 2008

    MAALIM ISSA AKSANTE KWA PICHA HIYO MANDHARI NI "..ORGANIC.." WACHA MCHEZO KAKA..

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 23, 2008

    Nashukurfu kwa picha nami naomba kutoa maoni yangu. Kwanza nimesikitika kwa wale walio kurupuka na kuponda maamuzi ya m-tz aliyejiwekea ungo kwenye nyumba ya eti "tope". mimi ningefurahi kama walikofanya hivyo watajirudi na kuomba msamaha. Mimi nimeichunguza hiyo nyumba, ukiangalia kwenye kona naona imejengwa kwa matofali ya udongo (yaweza kuwa yamechomwa) sio matofali ya 'block'. Nikitazama madirisha na frem zinaonekana zimenyooka vizuri na zina 'square'. na madirisha ya kioo na yamefanyiwa finishing nzuri tu.Hii inanifanya kupinga mawazo kwamba hii nyumba ni hadhi ya chini kama ambavyo maudhui ya habari yanakolenga. Mtu aliyeweza kujenga nyumba ya kiwango hiki ambacho nakiona, kamwe hawezi kushindwa kununua set ya dish. Kwa wasiojua haya madish ni bei nafuu sana, tena ukiongezea msaada wa jamaa zetu wachina, kuna kipindi (2006 & 2007) ukiwa na sh 150,000 unapata dish ya 'ku-band' nzuri kabisa. Hivyo naomba kuhitimisha kwamba huyu si duni, ni m-tz wa kiwango cha kati. He is capable.

    Nawasilisha

    Mdau kiwoso uk

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 23, 2008

    NYIE WOTE WASHAMBA...KWANI MADISH/UNGO YANAWEKWA KWENYE NYUMBA NZURI TU?? MSIPENDE KUJISHUSHA BWANA, NA HIZI COMMENTS ZA KIJINGA NI ZA WABEBA MABOX..NYIE SEMENI TU SIE TUNATANUA!!!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 23, 2008

    Mara ya mwisho nilipoenda Lushoto, december 2006, hushiki station yoyote ya TV hata ITV bila ungo, unanunua tu hicho kifaa na unaangalia station za kawaida wala hakuna malipo ya mwezi. Hayo madishi kwa Lushoto ni mengi tu....

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 23, 2008

    Bongo tambarareeeee manona wivu mlitaka nyie wenye majumba ya billion ndio muwe na TV tu nyie....Muone majuu kukoje heeeee.....heheheheheh mwachieni huyu naye afaidike na kideo chake

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 26, 2008

    Hii.. sio nyumba kamili it looks like a storage house.. haswa ukizingatia hakuna madirisha ubavuni.. na madisha ya mbele yako juu sana.. most likey it is storage unit.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...