Home
Unlabelled
maandalizi ya miss tz 2008 yapamba moto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mingongoz
ReplyDeleteLondoner
Hao wote ni watanzania??Kazi ipo
ReplyDeleteUREMBO NI UNYWELE, EEH
ReplyDeleteSasa naelewa kwanini mwana FA kasema bado yupo yupo kwanza. nikwakuwa migongo yakumbeba ipo mingi kishenzi!
ReplyDeleteingekuwa vipi kama wanawake wote wangekuwa hawatoi kabla ya ndoa??? or unadhani itakuwa vipi kama wanawake watagoma kutoa servise mpaka waolewe?
nadhani hii migongo ingekuwa tayari ishanyakuliwa!!
Nimtazamo tu.
G7
UK
mabinti wa kibongo nao wanajua kuoga siku hizi. hakuna kulala
ReplyDeletemtumeeeeeeeee bongo balaaaaa ndio maana haturudi huko.
ReplyDeleteMzee wa nanii naona ukaamua kukaa nyuma kuchukua picha haha yatakushinda ,,baada ya kutuonesha anayeojiwa we waangaika na migongo ya watu,,,,,,,,
ReplyDeletemmh...mweee..BADO NIPO NIPO KWANZA
ReplyDeleteDu! kweli bongo kuna ngozi,kwa staili hiyo haponi mtu hapo labda vipofu wasiokuwa na macho tobaaaa!!
ReplyDeleteahsante kaka kwa mambo mazuri,wacha tuoshe macho bwana.ila dada zetu wazuri acha utani
ReplyDeleteHao wadada wazuri hila kaushamba kamejaa-TATIZO -KUIGIZA ! Hawana ubunifu wowote.Kila mtu anataka kuwa kama Tyra Banks kitu ambacho kwa joto la bongo inakuwa kazi kidogo.
ReplyDeleteWanawake wanashida sana. Yaani mwili wao hauna thamani kabisa. Najisikia vibaya sana kwa hilo kwani nimepata mtoto wa kike jana, sijui atafikia hatua hii. Mungu nisaidie na umuepushe na vijitamaa tamaa vya magari ya vodacom
ReplyDeletehivi nyie waosha vyombo na vibabu mkoje?mnadhani bongo kuna dhiki sana?mmeula..kuna vitu vingi ambavyo nyie hamuwezi ku afford muwapo huko nchi za ugenini?mnapenda kujilinganisha nchi mliyopo ya ugenini na nyumbani.kwa taarifa yenu bongo tuna wanawake wazuri sana na webye kujiheshimu tofauti na wa kwenu ambao wanazaaa na vibabu vilivyochoka vya kizungu na matapeli wa nigeria..
ReplyDeletehuku sis tunakula maisha na endeleeni kuishi huko huko FAINALI NI UZEENI.
msasemaje kuhusu maadili yetu na huyo mrembo aliyeko uchiiiiii aibu...
ReplyDeletewee anonymous wa12:59 usichokilelwa ninini? wenzio wamesifia wasichana watz wazuri unawasema eti waosha vyombo na vibabau tunadhani bongo kunadhiki sana sio wote tulioko huku tunafanyahizo kazi na kwa taarifa yako tunapeta wewe huko bongo huna haki system mbovu kila akitu kuhonga JINGINE wewe unanagalia maisha ya watu wachache dsm nenda vijijini, mikoani mbaka leo watu wapelekwa hospital na baiskeli, hakuna umeme maji hunyi mpaka uchemshe!!mimi.INAYOKUSUMBUA NI GERE,UNAONAGERE???
ReplyDeleteHIVI WEWE Tarehe August 01, 2008 12:59 PM SIUNAENDA "HAJA KUBWA" WEWE, MBONA UNATOA KASHFA KWA WAZEE ETI "vibabu" HALAFU UNASEMA "FAINALI UZEENI" WEWE KAMA ULIFANYA HIZO KAZI AU UMEKOSA BWANA KWASABABU YUKO HUKU, JIREKEBISHE UNATABIA MBOVU "SANA" DADA...(u need keria) and "CHILLI PILS"
ReplyDeleteNdo maana siku zote sijamruhusu binti yangu aingie kwenye mashindano. Sasa we unafikiri midume ikishaona hiyo migongo na vinguo vya mapaya nusu what is next?
ReplyDelete