mabanda ya wajasiriamali kinamama yanayosimamiwa na taasisi ya mfuko wa fursa sawa kwa wote (eotf) yametia fora kwenye maonesho ya sabasaba mwaka huu kwa kuwa ya kisasa na kuvutia kutokana na ubora wake na mpangilio wa kimataifa kama inavyoonekana pichani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2008

    safi sana,keep it up mama Mkapa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...