mama anna mkapa akipokea zawadi toka kwa mkurugenzi wa bodi ya biashara ya nje mh. khalfani kutokana na mchango wake mkubwa wa kusaidia kinamama wajasiriamali kuendeleza biashara zao. hii ilikuwa leo jumanne wakati wa ufunguzi rasmi wa maonesho ya 32 ya bishara viwanja vya mwalimu nyerere maarufu kama maonesho ya sabasaba ambapo mgeni rasmi alikuwa waziri mkuu mh. mizengo pinda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...